Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
mkuu umekomaa na mimiUmewatumia lini wakati umesema huwa wanakukimbia una dushe kubwa? Au ulikuwa unawapa tangazo Ke wa JF?
Hata aliyeolewa na Zamaradi atajinyonga siku si nyingiWanaume wa jf jamanii
Tuseme mume wa Mama Chibu yupo hatarini?ndio shida ya kuoa mwanamke alieuzidi elimu na kipato....lazima akunyanyase tu....Mwanaume kama huna elimu ya kutosha usioe mwanamke aliekuzidi elimu na kipato ....atakutesa tu
Amejiua, atapumzikaje kwa amani au unajitoa ufahamu?Pumzika kwa Amani Yona Fares Maro
Yaani tumejumuishwa wanawake woote.Wanaume wa jf jamanii
Wakiwa wao kimyaa,,ila marehemu nae bana anawawakilisha wanaume wa jfYaani tumejumuishwa wanawake woote.
Mmm! It might be trueMpaka anahamia guesthouse wakati mkosaji Mke unategemea nini
Ht mm yalinikuta Mwaka 2009 nikamwachia mwke Kila kitu mpk Nyumba nikaenda kuanza Maisha upya mpk Leo nadunda tu tena ht kuoa tena wala sifikiriiUkiona anazingua ɓeɓa ɓeg lako anza upƴa hata ƙama unanini pale kwako.Nilipoona nazidiwa mɓinu na x wife nilinƴanƴua mikono nikaanza upƴa.Leo mwaka 9 naishi na nilijenga nƴumɓa nƴingine nikachukua wanangu naishi sikuona haja ƴa kuidhulumu nafsi kuishi.Wanaume tujitahdi kuɓadili mɓinu siƴo za kujiua hivi.
Vipi kwani ww bado best ?kumbe ndoa zina mitihani kiasi hicho. mpaka mtu anafikia hatua ya kujiua
Pole mkuuHt mm yalinikuta Mwaka 2009 nikamwachia mwke Kila kitu mpk Nyumba nikaenda kuanza Maisha upya mpk Leo nadunda tu tena ht kuoa tena wala sifikirii
Asante,story ya Maro imenisikitisha sn nakumbuka ht mm nilikuwa Sipati usingizi mpk nilewe au nimeze vidonge Dah! Nilipata mawazo mpk ya kumuua my x wife lkn nashukuru sikuchukua huo uamuzi baada ya kupata washauriPole mkuu