Bombabomba
JF-Expert Member
- Dec 23, 2017
- 1,804
- 2,128
Nina mifano ya nyumba 2, moja ke aliondoka, nduguze ke wakamwambie asiondoke kwa mumewe, akarejea tena, dude likasepa na kumuachia mke nyumba na mtoto.
Mwingine ke alihama na kumuachia kila kitu. Lkn Naona wote sasa wanaenjoy life.
Mwingine ke alihama na kumuachia kila kitu. Lkn Naona wote sasa wanaenjoy life.