TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Maswali fikirishi haswa, ila sema wa kuyafanyia uchunguzi hayupo, na hatotokea. Otherwise the death remained history.

Nayatafakari maneno yako kwa kina.
Kama tungefahamiana ningekuuliza mambo mengi sana.

Maana sisi tunaotarajiwa kuwa ndoani, tunahitaji nafasi ya kushauriwa sana.

Umeongea maneno mazito sana japo kwa MTU Wa upande Wa pili anaweza kuona kama unawakandamiza.

Ni ngumu sana kulitambua jambo kama hilo uliloliongea.

Yaani kama vile umenipa home work.

Exactly.

Ukitaka kujua JF imejaaa waigizaji, fuatilia sana zile mada zinazoletwa kuhusu MTU anaetatizwa na mahusiano! Utaona upungufu wetu wa akili ulipo, lakini sisi sisi tunasimamisha mishipa ya shingo kwa Trump!

Kwa kifupi trump ametustiri sana kwa lile tusi!

Pyeeee

Pole zake

Alimsaliti mkewe matokeo yake.ndio hayo

Rip

Stupid

Penda kwa kutumia akili ya kichwa cha juu,ukitumia moyo na kichwa cha chini umeumia mkuu

Tunajadiki issue serious watu wanaleta ujinga

Tusiwe wajinga na kuondolewa kwenye reli ...sisi wasomi na wengine ni WABOBEZI ....nimeweka mkeka huo TAZAMENI NA HIYO ANGLE TUSIFANYWE MADODOKI
CC
Max
Robbot
Fiddiga
Mtanzania
Mwananchi

La sivyo atakayefuatia tutaambiwa...ana ugomvi na mchepuko au wanagombea

EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION

Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard

Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc

Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao

Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo

Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa

Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao

Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest

Nani alimtembelea guest

Alijiuwa na sumu aina gani ...

Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje

Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)

Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?

WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...

Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??

Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI

MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..

HAUWEZI KULA MUWA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO BILA KUKUTANA NA FUNDO"

Na wewe ni kamanda?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…