Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maswali fikirishi haswa, ila sema wa kuyafanyia uchunguzi hayupo, na hatotokea. Otherwise the death remained history.EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION
Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard
Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc
Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao
Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo
Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa
Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao
Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest
Nani alimtembelea guest
Alijiuwa na sumu aina gani ...
Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje
Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)
Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?
WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...
Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??
Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI
MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..
Baba yake Nani alikuwa anamla Nani?Aisee huyu Dada alikuwa anamnyanyasa sana jamaa, alikuawa anamrudia usiku wa manane. Huyu kijana alikuwa mpole halafu tee. Baba yake alikuwa anakula huyu Dada sasa ni marehemu.
Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
Mahabusu tena siku 60??? Ningependa kusikia upande mwengine wa hili tukio...mpaka mwanamke mwenye familia kufikia maamuzi ya kuchepuka tena na hadi kuchelewa kurudi nyumbani tena mara kwa mara kuna namna.[/QUOTE
Alikuwa hafikishwi itakuwa.
Marehemu alipaswa asalimu amri,amwachie Eng. wa maji,yeye atafute wa vipimo vyake,na si kuiacha dunia na raha zake
Nayatafakari maneno yako kwa kina.IZI TABIA ZA KUJULIA MAPENZI UKUBWANI NI TATIZO..VIJANA SIKUHIZI WANAANGALIA TAMTHILIA SANA ZINAWADANGANYA SANA KUHUSU MAPENZI.
MNACHOTAKIWA MFAHAMU NI KUWA KWA DUNIA YA SASA MWANAMKE NI CHOMBO CHA BURUDANI TU..UKIZIDISHA YAANI KUMFANYA ZAIDI YA CHOMBO NA UKATAKA KUMTUMIA KAMA RAFIKI AU NDUGU LAZIMA UTAKUFA TU!!!!
MWANAMKE WA KI LEO NI JINI, NYOKA, NA NDIE FIMBO YA IBILISI..KUNA WANAOPATA STROKE, PRESHA NA VILEMA SABABU WALIMGEUZA MWANAMKE RAFIKI^/NDUGU.
MWANAMKE NI CHOMBO CHA STAREHE UNAKITUMIA PALE UNAPOHITAJ BURUDANI FULANI, UNAWEZA UKABADILISHA UTAKAVYO SABABU LADHA YA STAREHE UBADILIKA..UKIFATA HII KANUNU UTAISHI KWA RAHA NA UTAJIRI UTAKUWA NAO KARIBU.
Exactly.Mkuu sisi watanzania au wanadamu ni wanafiki sana wengi huj kutoa ushuhuda baada ya tukio fulani na mtu kufikia kiwango cha mwisho cha kujitetea ndipo utawona wanakuja na wengine kujifanya wanajua zaidi kuliko wewe mlegwa..
Mfano mzuri hata nusu saa haijapita kuna mdau mmoja hapa ameleta maada isemayo msaada wa kuokoa Ndoa ya Huyu Jamaa , ukiangalia baadhi ya michango unaweza kusema tumelogwa na nani? na bado nakubaliana na Trump kabisa Juu ya uwezo wetu wa kupambanunua mambo yanayotuzunguka.. Leo hii kuna Mdao kasema aliyaona mateso yote aliyokuwa anayapitia huyo Marehemu, lakini ukimuuliza alichukuwa hatua gani ya kuokoa au hata kusema neno moja ambalo leo hii lingekuwa muokozi kwa marehemu?
Kifupi tupo humu JF tulio wengi ni wanafiki na tunafurahi Mwenzio akipatwa na matatizo na ukishaona ameptwa na matatizo kama alikuwa rafiki yako hata akikupigia huwezi kupokea tena..
Pyeeeebaba angu mdogo alikuwa na mchepuko na aliufungulia bonge la salun la kisasa!lakini dem alimkuta ni mdangaji na jamaa akawa anafosi sana kumtuliza kilichomtokea alijiua kabla hata jua kuchomoza!
Alijiuaje??
Alikuwa na mchepuko siku hiyo hadi saa6 usiku kisha wakaagana maana bamdogo alikuwa na wife na watoto wadogo 2.
Kufika hom rafk yake anampigia anamwambia yaani we umetoka tu chumbani jamaa lingine limeingia kumshughulikia demu wako!
Jamaa akaenda kweli akakuta mashine inaungurumishwa ndani na kelele za kutosha!
Akavamia akakuta kweli mzigo wake unaliwa!
Ndio hivyo kwa hasira hasara akaenda kunywa ngao 3.akaacha mke mzuri na watoto wadogo wakimhitaji
Stupidbaba angu mdogo alikuwa na mchepuko na aliufungulia bonge la salun la kisasa!lakini dem alimkuta ni mdangaji na jamaa akawa anafosi sana kumtuliza kilichomtokea alijiua kabla hata jua kuchomoza!
Alijiuaje??
Alikuwa na mchepuko siku hiyo hadi saa6 usiku kisha wakaagana maana bamdogo alikuwa na wife na watoto wadogo 2.
Kufika hom rafk yake anampigia anamwambia yaani we umetoka tu chumbani jamaa lingine limeingia kumshughulikia demu wako!
Jamaa akaenda kweli akakuta mashine inaungurumishwa ndani na kelele za kutosha!
Akavamia akakuta kweli mzigo wake unaliwa!
Ndio hivyo kwa hasira hasara akaenda kunywa ngao 3.akaacha mke mzuri na watoto wadogo wakimhitaji
Sijajua ni kwa nini umeamua kutoka nje ya reli, tena kwa makusudi kabiaa,na sijui nani anafaidika.4x4 by Far
Penda kwa kutumia akili ya kichwa cha juu,ukitumia moyo na kichwa cha chini umeumia mkuuMwanamke ni kiumbe kizaliwacha na shahawa za mwanaume ila siyo kumbe kamwe cha kukitegemea na kukiamini kwa asilimia zote.. Kipende kadri ya uwezo wako ila usikiamini kamwe kwa kuwa Ubongo wa hiki Kiumbe kinawaza vitu vingi ambavyo kati ya Vitu hivyo vyote asilimia kubwa ni Tamaa tuuuuuuuuuuuuuuuuuu hakuna hata kimoja ambacho siyo cha Tamaa..
Sasa Tamaa ikizidi uwezo matokeo yake ni Makubwa... Na hata hizo Ndoa au Mahusiano yanayoyumba ukifuatilia chanco kikubwa ni Tamaa ambayo Mwanamke anataka kutimiziwa na Mwanaume kila Muda..... Mwanamke ni kiumbe kinachoishi na Kuongozwa na Matamanio Muda wote
ukiendelea utaanza kuitwa scunk na rubbish sasa hivi hahahhaMimi ni mwanamke nina interest katika hili, huoni kuwa nawe ni mwanaume unaweza kuwa na interest katika hili?
Mhh haya! Naona tuishie hapo.
Na wewe ni kamanda?Wasalaam,
Kwa akili zangu nazozijua mimi, hakuna haja ya kumlaumu huyu ndugu yetu (maana ukisoma maoni mengi mitandaoni juu ya watu waliojiua akiwepo ndugu yetu Yona Fares Maro kwa sababu ya MAPENZI mengi ni hasi ya kulaumu) KIWANGO KIKUBWA SANA, HAPANA sio sahihi sana hasa kama huna "experience" ya haya mambo ya kuumizwa na kuumizana, jambo la kulaumu ni 1, ninajua alikuwa ana nafasi ya kuokoa uhai wake ila alikosa "MTU WA KARIBU, ALIKOSA USHAURI MAHUSUSI, ALIKOSA WAPI PA KUPUMULIA SUMU ZA MOYO WAKE , JUST ALIBAKI AKISEMEZANA NA MOYO WAKE WENYE MACHUNGU( YA KUONA MWENZA WAKE ANAMSALITI) THEN AKAAFIKIANA NA MOYO WAKE KUWA DAWA NI KUJIUA.
Marehemu Maro aliona hilo ni jibu sahihi kabisa, ni kwanini tusimlaumu?? Ni kwasababu hata wewe yanaweza kukuta , tena wewe uliyekuwa unamlaumu kwa 100%, yatakukuta endapo utakosa ushauri, utakosa mtu wa kumwambia machungu yako basi tarajia maamuzi HASI.
Pia ukikosa kuambiwa UKWELI KUHUSU UHALISIA WA NDOA/MAPENZI basi YATAKUSONONESHA huenda ukachukua uamuzi hatari zaidi kuliko hata huu wa Yona.
Kama upo kwenye mahusiano ya dhati, huenda kuna siku yakapinduka(MUNGU AEPUSHE MBALI) Je umejipanga vipi kuhimili mshindo huo?? NI LAZIMA TUAMBIWE UKWELI KUHUSU MAPENZI , NI LAZIMA TUJUE MAPENZI NI JAMBO LA HATARI, UKISOMA BIBLIA KWENYE WIMBO ULIO BORA NGUVU YA MAPENZI INAFANANISHWA NA MAUTI .
Kanuni ya maisha kwenye kila eneo ni rahisi sana, achilia mbali MAPENZI , kama upo kwa mtu unaemtegemea sana labda kimasomo , kukulisha, kukuvalisha n.k ujue kuna siku ATATWALIWA( MUNGU AEPUSHE MBALI) Kama una kazi nzuri ,biashara nzuri (MUNGU AEPUSHE MBALI) kuna siku utaamka na habari zingine. Sasa tatizo linakuwa ni namna gani umejipanga kuhimili huo mshtuko...Tujifunze kuwa "TUNAPOKULA MUWA BASI TUTAKUTANA NA FUNDO. HAUWEZI KULA MUWA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO BILA KUKUTANA NA FUNDO"
Wanaojiua watufundishe kuwa walikuwa wana nafasi ya kuokoa maisha sasa walikosa ni wapi pa kuanzia, na kuona KUJIUA NDIO SULUHISHO PEKEE.
Je hapo ulipo una marafiki wa aina gani ambao wanaweza kukuokoa kwenye nyakati ambazo umebakiza uamuzi mmoja pekee wa kukata tamaa ya kuishi?? Au wakula nao bata pekee??
MUNGU AWAWEKE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOJIUA KWA SABABU YA KUKATA TAMAA YA KUISHI.