TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Hadi mtu kuona ameamu kujiua, kuna mengi zaidi nyuma yake kuliko mapenzi. Isipokua mapenzi inatumika au inaonekana ni sababu kuu.

Humu watu wanakejeli, ila hata wao wamejiua kwa namna mbali mbali, kujiua sio lazima unywe sumu au ujinyonge then ukazikwe, humu humu JF kuna watu wana post, ila wameisha jiua kitambo ( wamekufa kitambo ) na hao ndio vihele hele waku kejeli.

Isipo kua kila mtu ana namna yake aliyo jiua. mfano una kuta mtu mwanzo hakua mlevi au mtu wa kununua malaya, ila baada ya kutendwa ananza umalaya na ulevi kwa kuhisi ana solve tatizo, kumbe ndio kajimaliza. mtu wa namna hii hana tofauti na Yona, ila tu njia zao za kujiua ndio ni tofauti.

Haya mambo ni kumuomba sana Mungu na kuwaombea wengine pia wasimezwe na huzuni hadi kufikia mahala pa kujiua kwa namna yoyote ile.

 
Kweli wewe ni great thinker.
 
Yeye kaaibisha na kudhalilisha wangapi.?
 

Mke na mtoto si walizikwa Kinondoni, Dar? Na shemeji ndie alisafirishwa kuzikwa huko.

Ni vizuri kujua mume alijisalimisha.. nilifikiri atakuwa ameamua kujimaliza kabisa.. sasa akaonje mateso selo.
 
Daaah R.I.P member, yule dada kinachomdanganya ni lile Tako lake anaonekana smart na dread kumbe mshenzi tu na muhuni.
Malipo hapahapa Duniani
Mwanamke akishakuwa na tako tu ni majanga!! Huwa nahisi na akili zao pia wanazikalia, maana akili zote huhamia takoni!! Awe msomi ama si msomi
 
Kumbe ule utafiti unaosema wanaume wengi hufa mapema kwa msongo wa mawazo ni kweli..kwa hili naona marehemu ameshindwa kuvumilia kuumia ameamua ajimalize pole yao familia
Siamini katika kujiua unapoumizwa na mapenzi. Tujifunze kuachia yale ambayo tunaona yapo nje ya uwezo wetu. Angechukua uamuzi wa kumuacha huyo mke aendelee na uzinzi wake yeye aendelee na maisha yake. Ni ubinafsi mkubwa kujiua na kuacha watoto wako yatima wakiteseka.
R.i.p to him!
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Yaani nijiue kisa mapenzi? Niache wanangu wanateseka?
Haitakuja tokea. Unapiga chini maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…