TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Hadi mtu kuona ameamu kujiua, kuna mengi zaidi nyuma yake kuliko mapenzi. Isipokua mapenzi inatumika au inaonekana ni sababu kuu.

Humu watu wanakejeli, ila hata wao wamejiua kwa namna mbali mbali, kujiua sio lazima unywe sumu au ujinyonge then ukazikwe, humu humu JF kuna watu wana post, ila wameisha jiua kitambo ( wamekufa kitambo ) na hao ndio vihele hele waku kejeli.

Isipo kua kila mtu ana namna yake aliyo jiua. mfano una kuta mtu mwanzo hakua mlevi au mtu wa kununua malaya, ila baada ya kutendwa ananza umalaya na ulevi kwa kuhisi ana solve tatizo, kumbe ndio kajimaliza. mtu wa namna hii hana tofauti na Yona, ila tu njia zao za kujiua ndio ni tofauti.

Haya mambo ni kumuomba sana Mungu na kuwaombea wengine pia wasimezwe na huzuni hadi kufikia mahala pa kujiua kwa namna yoyote ile.

Wasalaam,

Kwa akili zangu nazozijua mimi, hakuna haja ya kumlaumu huyu ndugu yetu (maana ukisoma maoni mengi mitandaoni juu ya watu waliojiua akiwepo ndugu yetu Yona Fares Maro kwa sababu ya MAPENZI mengi ni hasi ya kulaumu) KIWANGO KIKUBWA SANA, HAPANA sio sahihi sana hasa kama huna "experience" ya haya mambo ya kuumizwa na kuumizana, jambo la kulaumu ni 1, ninajua alikuwa ana nafasi ya kuokoa uhai wake ila alikosa "MTU WA KARIBU, ALIKOSA USHAURI MAHUSUSI, ALIKOSA WAPI PA KUPUMULIA SUMU ZA MOYO WAKE , JUST ALIBAKI AKISEMEZANA NA MOYO WAKE WENYE MACHUNGU( YA KUONA MWENZA WAKE ANAMSALITI) THEN AKAAFIKIANA NA MOYO WAKE KUWA DAWA NI KUJIUA.

Marehemu Maro aliona hilo ni jibu sahihi kabisa, ni kwanini tusimlaumu?? Ni kwasababu hata wewe yanaweza kukuta , tena wewe uliyekuwa unamlaumu kwa 100%, yatakukuta endapo utakosa ushauri, utakosa mtu wa kumwambia machungu yako basi tarajia maamuzi HASI.

Pia ukikosa kuambiwa UKWELI KUHUSU UHALISIA WA NDOA/MAPENZI basi YATAKUSONONESHA huenda ukachukua uamuzi hatari zaidi kuliko hata huu wa Yona.



Kama upo kwenye mahusiano ya dhati, huenda kuna siku yakapinduka(MUNGU AEPUSHE MBALI) Je umejipanga vipi kuhimili mshindo huo?? NI LAZIMA TUAMBIWE UKWELI KUHUSU MAPENZI , NI LAZIMA TUJUE MAPENZI NI JAMBO LA HATARI, UKISOMA BIBLIA KWENYE WIMBO ULIO BORA NGUVU YA MAPENZI INAFANANISHWA NA MAUTI .

Kanuni ya maisha kwenye kila eneo ni rahisi sana, achilia mbali MAPENZI , kama upo kwa mtu unaemtegemea sana labda kimasomo , kukulisha, kukuvalisha n.k ujue kuna siku ATATWALIWA( MUNGU AEPUSHE MBALI) Kama una kazi nzuri ,biashara nzuri (MUNGU AEPUSHE MBALI) kuna siku utaamka na habari zingine. Sasa tatizo linakuwa ni namna gani umejipanga kuhimili huo mshtuko...Tujifunze kuwa "TUNAPOKULA MUWA BASI TUTAKUTANA NA FUNDO. HAUWEZI KULA MUWA KUANZIA MWANZO MPAKA MWISHO BILA KUKUTANA NA FUNDO"

Wanaojiua watufundishe kuwa walikuwa wana nafasi ya kuokoa maisha sasa walikosa ni wapi pa kuanzia, na kuona KUJIUA NDIO SULUHISHO PEKEE.

Je hapo ulipo una marafiki wa aina gani ambao wanaweza kukuokoa kwenye nyakati ambazo umebakiza uamuzi mmoja pekee wa kukata tamaa ya kuishi?? Au wakula nao bata pekee??

MUNGU AWAWEKE MAHALA PEMA PEPONI WOTE WALIOJIUA KWA SABABU YA KUKATA TAMAA YA KUISHI.
 
EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION

Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard

Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc

Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao

Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo

Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa

Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao

Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest

Nani alimtembelea guest

Alijiuwa na sumu aina gani ...

Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje

Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)

Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?

WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...

Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??

Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI

MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..
Kweli wewe ni great thinker.
 
binadamu unafiki umewazidi sana leo hii Le Mutuz ameaibishwa mitandaoni ni nani anamfariji na kumtia moyo zaidi ya kumcheka tu?...acheni unafiki rafiki yako ukisikia aibu zake hautamsaidia zaidi ya kumcheka akijiua ndio mnaleta unafiki wa kumuonea huruma unafiki mtupu
Yeye kaaibisha na kudhalilisha wangapi.?
 
Kuna familia tumetoka kuzika majuzi huko Bunda kanda ya ziwa. Mwanaume kakwara wote, yani kuanzia mke wake wa ndoa mtoto wa miezi 4 na shemeji yake, afu yeye akaenda baadae kujisalimisha polisi. Kisa mke karuka zizi na akabebea huko huko ujauzito. So jamaa akashtuka kuwa hiyo maniaje sio ya kwake, alishika jembe kaprone wote as if alikuwa anapalilia magugu.

Mke na mtoto si walizikwa Kinondoni, Dar? Na shemeji ndie alisafirishwa kuzikwa huko.

Ni vizuri kujua mume alijisalimisha.. nilifikiri atakuwa ameamua kujimaliza kabisa.. sasa akaonje mateso selo.
 
Daaah R.I.P member, yule dada kinachomdanganya ni lile Tako lake anaonekana smart na dread kumbe mshenzi tu na muhuni.
Malipo hapahapa Duniani
Mwanamke akishakuwa na tako tu ni majanga!! Huwa nahisi na akili zao pia wanazikalia, maana akili zote huhamia takoni!! Awe msomi ama si msomi
 
Dash. Mashallah
 

Attachments

  • downloadfile-8.jpg
    downloadfile-8.jpg
    114.2 KB · Views: 135
Kumbe ule utafiti unaosema wanaume wengi hufa mapema kwa msongo wa mawazo ni kweli..kwa hili naona marehemu ameshindwa kuvumilia kuumia ameamua ajimalize pole yao familia
Siamini katika kujiua unapoumizwa na mapenzi. Tujifunze kuachia yale ambayo tunaona yapo nje ya uwezo wetu. Angechukua uamuzi wa kumuacha huyo mke aendelee na uzinzi wake yeye aendelee na maisha yake. Ni ubinafsi mkubwa kujiua na kuacha watoto wako yatima wakiteseka.
R.i.p to him!
 
Ukiona anazingua ɓeɓa ɓeg lako anza upƴa hata ƙama unanini pale kwako.Nilipoona nazidiwa mɓinu na x wife nilinƴanƴua mikono nikaanza upƴa.Leo mwaka 9 naishi na nilijenga nƴumɓa nƴingine nikachukua wanangu naishi sikuona haja ƴa kuidhulumu nafsi kuishi.Wanaume tujitahdi kuɓadili mɓinu siƴo za kujiua hivi.
Nakubaliana na wewe mkuu. Yaani nijiue kisa mapenzi? Niache wanangu wanateseka?
Haitakuja tokea. Unapiga chini maisha yanaendelea.
 
Back
Top Bottom