TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Barehe ya kwanza ilimpita bila kuitumia akaja kushtuka yupo barehe ya pili ambayo ni mbaya kupindukia maana unakuwa na hela pia uko huru.Akajikuta anajua kupenda lakini kutongoza hawezi hivyo akipata demu anaingia mwili mzima..zero xperiance na hao viumbe.
Mungu amlaze pema.
 
Kuna uwezekano tunapata madhambi tu ya kumlaumu Yona na Mkewe kumbe kuna Njitu zinazopaswa kulaumiwa zinatusanifu tu humu kwa kufanikiwa kupumbaza watu akili, pengne kuna njitu zinajua ukweli wa kifo cha yona Zaid ya hata yona mwenyewe. Amini World is not fair but our God is too fair, ukipndsha haki dunian itaenda kunyooshwa mbinguni, na ukiikosa duniani utaipata mbinguni. Mimi na wewe ambao tumepata taarifa hii kwa mapokezi tusijibebeshe mizigo ya dhambi kumlaumu yeyote. Nachelea kusema wana Jf tumekua blind sana kweny hii mada, Ndio kifo kweli kimetokea, na sababu za kifo tumepata kwa maelezo, means hamna tofaut na maelezo mengne tunayopataga kwenye mada tofauti humu jf lakini tunaitaga CHAI, binafsi sijui lolote zaid ya kifo, sisemi wala sina uhakika kama ni chai, je wewe unauhakika gan kama si chai? Kuvunjwa mlango? Au kwa sbaa ya barua? Hahaaa are we serious?

R.I.P YONA
 
R.I.P....!
===
Huyo injinia ni mu-old moshi ama mkibosho ama mmarangu ! ? Lengo la swali kuweka kumbukumbu sawa sawa.
 
"...alikua ni kijana very bright na aliyeipenda nchi yake kwa moyo wote...."
====
Well I ! Oh I see!!! Bright...aliipenda nchi yake kwa moyo wote..
____
Asante mkuu kwa taarifa.
 
"....alipataje email addresses nyingi hivyo za watu wasiomjua? Aliingia kwenye server za google na yahoo?"
====
Asante kwa swali lako.
 
CV ya mjane. Pole kwa msiba.
Na hiki hapa chini ndicho nilichokuta kwenye cv ya mjane.
Kwamba ana uweze mkubwa wa kukabili na kutatua changamoto na matatizo magumu kwa kutumia njia mvurugo(rigorous) za kilojiki.
=====
Mloelya possess a broad range of technical, personal effectiveness and leadership skills
including managing multi cultural team, and uses rigorous logic and methods to come up with effective
solutions to difficult problems.
 
Ulitaka aaandikeje? Kama...engineer anayejiuza fani...yake
 

Nini sababu ya kuanzisha wanabidii group? Alikuwa anaichukuliaje JF? Unfortunately maisha yetu chini ya jua yana kiwango. Kama tungelijua....
 

Ndio maana alipotea sana kwenye mitandao
 

Kuna theories nyingi sana kwenye mauti ya huyu bwana. Kama mke wake ndio sababu, kweli inasikitisha mno. Mbona wanawake wapo wengi tu na yeye alikuwa mzee wa kanisa?
 
Tuheshimuni tu sababu udhaifu wenu tumeubeba katikati ya miguu yetu

Rip
 
Ulitaka aaandikeje? Kama...engineer anayejiuza fani...yake
Inaonekana unamajibu yako mfukoni; mimi nimenukuu nilichokuta kwenye CV. Kwa kuwa si wote ambao wangefungua file ile nikaona ni vema nukuu juu ya uwezo wa mjane kutatua matatizo kama injinia ni uweke hadharani. Kamwe si kunukuu kwa nia ya kukosoa uandishi wake ama uwezo wake wa kutatua matatizo (ya kiinjinia).

Mpaka hapo nadhani tutakuwa wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…