TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

TANZIA Yona Fares Maro (MwanaJF na Muasisi wa Wanabidii) Afariki Dunia

Tunajadiki issue serious watu wanaleta ujinga

Tusiwe wajinga na kuondolewa kwenye reli ...sisi wasomi na wengine ni WABOBEZI ....nimeweka mkeka huo TAZAMENI NA HIYO ANGLE TUSIFANYWE MADODOKI
CC
Max
Robbot
Fiddiga
Mtanzania
Mwananchi

La sivyo atakayefuatia tutaambiwa...ana ugomvi na mchepuko au wanagombea

EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION

Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard

Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc

Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao

Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo

Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa

Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao

Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest

Nani alimtembelea guest

Alijiuwa na sumu aina gani ...

Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje

Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)

Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?

WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...

Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??

Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI

MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..
[emoji115] [emoji115]

Sijui kwanini duniani kuna vitu vigumu kiasi hiki... Eeeh Mungu baba wa rehema kampe pumziko la haki marehemu..
Nazidi kuziombea ndoa na mahusiano mengine yanayopitia katika nyakati ngumu za ugomvi na mafarakano... Baba wa rehema katende sawa sawa na mapenzi yako... *Kahukumu* *kwa* *haki* *wale* *wote* *wanaotibua* *ndoa* na *mahusiano* ya *wengine*
Tunatambua ulisema NDOA NA IHESHIMIWE NA WATU WOTE... basi na iwe hivyo... Aaamen [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25]

Mhh sio kwa ombi hili

Huyu engineer Najua alikuwa Dawasco then netwas then kusoma uholanzi, then project Mbeya then ajira mamlaka! Jee huyu maro eneo lake la kazi, Namaanisha address ilikuwa wapi!? Dar es salaam au Mbeya!? Kama huyu ndugu huyo mke wake ndio alimfanya kuhamia Mbeya that was the biggest mistake he had done in first place !! Hata Siku moja usikubali kuwa drived na mwana mke, utakuja kujuta! Count my words! Hata bibilia imetoa angalizo
Drived ndio lugha ya wapi?

hakuna janga geni kwenye ndoa ni yale yale yanazungukaga ! ulevi,uchawi,uzinzi,nk ! so usidhan ukitafuta mtu ukamweleza ataona kitu kigein namna hyo !inamaana huna rafiki wa kushea naye ?? aisee inabid ujitafakari pia !utakufa siku si zako ! pole !bado tunakupenda aisee !

ongezea na uchoyo, yaani mimi MR , tarehe tano tu mwanzo wa mwezi kabisa hana hata mia,

mshahara wote akipata anagawanya kwa ndugu zake hata yeye mwenyewe anajisahau atakula nini, hapa nyumbani kama usiponunua chakula hamli nakwambia,basi nilifanya kama naishi mwenyewe tu, mipango ya maendeleo na bajeti nzima ya nyumbani napanga kwenye mshahara wangu, na toka nimeamua kufanya hivyo aah moyo wangu umetulia na mbambo yaenda vizuri tu

Ww ungempa penzi murua?!

Yona nilikuwa namfahamu vzr sn hakuwa mtu wa wanawake i cn understand kwann hata huyo mke kampelekesha namna hiyo jamaa alikuwa mtu muoga muoga hivi

huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi hamtaki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya

huyo yona ni nyoko tu acha yamkute yaliyomkuta, alizaa na shoga yangu kipenzi, na wakawa wanaishi pamoja kama mke na mme, baadae akautana na huyu eng. mapenzi yakaanza na wakafunga ndoa kisisrisiri ya bomani, wakati huyu dada anataka kwenda masomoni nje(kusoma master). sasa dada livyorudi hamtaki tena yona ila ndo hivyo kishafunga nae ndoa, drama nyingi zimeendelea mpaka ameamua kujirestisha in peace. Mbona shoga yangu hakujiua alivyomcheat hadi kufunga ndoa kimya kimya

Una hasira

Huyu si ndiye yule alijiua eti sababu mkewe analiwa uroda na mtu mwingine?? Nimesoma habari zake kwenye gazeti la Mwananchi, kuwa kabla ya kujiua aliandika ujumbe mzito.

Kama sikosei ndiye yeye. Anyway, ameshakufa lakini mtu unawezaje kujiua sababu ya mwanamke?

Huyu kijana kama ni kweli alijua sababu ya mwanamke, amekosea sana. Ni ujinga sana na upuuzi kutoa uhai wako sababu ya mwanamke. Dunia hii imejaa wanawake na wengine wanatafuta waume wa kuwaoa kila siku hawapati, halafu wewe unajiua sababu mkeo analiwa na mtu mwingine!

Upumbavu kama huo mimi siwezi fanya kamwe kwenye maisha yangu. Kwenye jamii yetu, mtu akijiua huwa haitakiwi azikwe kwa heshima, tena huwa inatakiwa maiti yake itandikwe viboko kwanza kabla ya kufukiwa.

Dah...

Yona amenisikitisha sana to be true. Nimetoka naye mbali sana. Tangu 2002 tulipokua tunaanza kuhangaika na utundu wa mitandaoni. Na mambo mengine mengi ambayo siwezi kuyasema lakini kwa ufupi alikua ni kijana very bright na aliyeipenda nchi yake kwa moyo wote.
Bright people don't kill themselves bhana tusidanganyane. Huyu jamaa hakuwa bright wala nini, alikuwa "mpumbavu" tu ndiyo maana amejiua sababu ya mwanamke.

Acheni kusifia ujinga, kama mtu amefanya upuuzi hata kama amekufa inapaswa kusema ukweli tu bila kuogopa. Mtu mwenye akili zake hawezi kutoa uhai wake sababu ya Mwanamke na kuacha familia ikiteseka.

Watu kama hawa hawastahili kusifiwa na jamii hata kidigo.

Hivi mtu Aliejiuwa huwa anaombewa or kuambiwa Rest in Peace....!!???
Kuombewa ni kujifariji tu.

Ukimuombea au usipomuombea, mtu yeyote aliyefariki hana cognitive functions na kwa hiyo by default yuko in peace.

ndio mjue mwanaume hata awe vipi kwa mwanamke ni dhaifu,RIP Yona
Siyo mimi. Kamwe mimi siwezi kutoa uhai wangu sababu ya mwanamke.

Mimi ni kichwa bhana. Biblia inasema mimi ni KICHWA. Ukisimama kama KICHWA katika ndoa yako huwezi kuwa na maamuzi DHAIFU kama ya huyo jamaa aliyejiua.

Back
Top Bottom