Tunajadiki issue serious watu wanaleta ujinga
Tusiwe wajinga na kuondolewa kwenye reli ...sisi wasomi na wengine ni WABOBEZI ....nimeweka mkeka huo TAZAMENI NA HIYO ANGLE TUSIFANYWE MADODOKI
CC
Max
Robbot
Fiddiga
Mtanzania
Mwananchi
La sivyo atakayefuatia tutaambiwa...ana ugomvi na mchepuko au wanagombea
EMERGING CONSPIRACY OF PODSOBLE ASSASSINATION

Ijulikane kuwa Maro alikuwa Graduate wa IT toka Harvard

Ijulikane kuwa Maro kama mwana harakati amehusika actively na mitandao maarufu kama mmiliki,mwenza,mwazilishi,mshiriki
Ie Bidii,ulinzi na usalama ,jamii forum etc

Ijulikane kuwa wakati mauti yanamkuta alikuwa ametoka kwenye kizuizi cha siku 60 kwa makosa...yanayohusiana na mtandao

Ijulikane kwa sasa kuna mamia ya vijana hawapo mtaani kwa makosa ya namna hiyo ikihisiwa wanatoa siri za serikali ,jeshi,tiss etc maro alikua kundi...hilo

Ijulikane kuwa Maro amewahi kupigwa huku nyuma na...watu wasiojulikana kama...onyo kwa ushiriki wake na aina ya mijadala na taarifa anazotoa

Maro ni kati ya vijana wachache watanzania waliokuwa na uwezo mkubwa wa.kuingilia mitandao

Conclusion
Wakati dunia nzima inamlaumu Maro kwa kujiuwa ,nani amechunguza masaaa 48 baada ya na kabla hajaingia kwenye hiyo guest
Aliongozana na nani guest

Nani alimtembelea guest

Alijiuwa na sumu aina gani ...

Mawasiliano yake ya mwisho kwa simu yakoje

Kama alikua na ugomvi na mkewe kwanini aweke namba yake ataarifiwe wakati ana ndugu wengine kama Dada ,kaka etx ...
Mwandiko uluotumika ni wake ? Je ameuandika katika hali ya kawaida au shinikizo ( wataalamu wa miandiko wananielewa)

Walipovunja mlango ufunguo waliukuta wapi ? Kwenye tundu ? Sakafuni au chini ? Au haukuwapo kabisa ?

WAMEANDIKA amekuwa na ugomvi na mkewe four years .....iweje kurudi usiku wa manane mkewe kumfanye ajiuwe leo kama kavumilia miaka minne
Mtu aliyekua kizuizini na huko hakuwa anajua mienendo ya mkewe iweje hilo limshtue zaidi...

Mazingira yakoje kwenye tukio ? Palikuwa na purukushani ?'je alikufa katika hali gani ...misuli yake ionekana je ,macho yake je ...palikuwa na nini kingine ...
Forensic experts waliitwa kabla ya kuchukua kitu chochote
Kuna picha mnato na video ??

Mwisho napata hitimisho kuwa kutokana na mazingira na ushiriki wake katika yanayoendelea na.kuwa...alitoka kizuizini TUSIWE MISLED KUMLAUMU MKEWE NA MCHEPUKO HADI TUPATE MAJIBU YA HAYA MASWALI

MARA NYINGI KWENYE ASSASSINATION HUWA WAANAANGALIA POSSIBLE EXIT ANGLES IKIWEMO WATU WA KUWATUPIA LAWAMA BAADA YA MAUWAJI ..