Kizuio
JF-Expert Member
- May 29, 2018
- 845
- 521
- Thread starter
- #21
[/QUOTE]Unachanganya madesa mkuuLakini hakuna kabila la yuda.
Na hats kiebrania wanachoongea sasa ni modern sio mile cha zamani,yaani kiebrania kilihuishwa upya miaka ya 1700.
Kwa hiyo hata kiebrania wanachoongea ni cha kuunda.
Inatakiwa ujue kuwa Israel ilipotea hawa waliokuja kuunda mpya waliforce ndo maana hawajui wajitambulishe kama waisrael ama wayahudi.
Kumbuka wakati wa tawala za Israel na yuda.
Israel walishikilia kuabudu mungu El.
Wayahudi wa yuda walikuwa na mungu wanaabudu akiitwa Yahwew.
Na wayahudi waliwaona waisrael kama wamepotea
Israel ni yakobo mwenyewe na Yuda ni mtoto wa yakobo hawa kabila la Yuda yaani wazawa waliotokana na mtoto wa yakobo Yuda wanaojiita wayahudi walitawanywa huko na huko baada ya warumi kuivamia Israel mwaka 70bk na kuiacha nchi ikiwa tupu na kukimbia sehemu mbalimbali Duniani sio kwamba walikufa wote hapana na ndio hao vizazi vyao vigundulika huko ulaya wakitangatanga tu bila kujua kwao wapi na huko walifikaje