Yoshua - Amiri jeshi mkuu wa kwanza wa waisrael

Yoshua - Amiri jeshi mkuu wa kwanza wa waisrael

Shemu hakuwa mkubwa japo kwenye Biblia anaanza kutajwa yeye Kisha hamu na yafethi
Biblia inaanza kumtaja kwa kuwa alikuwa anamsikiliza Mungu kuliko hao wengine lakini kihistoria shemu sio mtoto wa kwanza wa Noah
Mkuu usihamiahe mada nasubiri mstari unaosema chanzo cha canaan kulaaniwa
 
Binadamu tumejipaje udhaifu!?..Me nilijua binadamu ni dhaifu toka kaumbwa ndio maana aliweza danganywa akala Tunda.
Shetani alipokutana na Mungu wakambetia Ayubu kuwa ni dhaifu ina maana Ayubu alijipa udhaifu.
Katika majaribu ya ayubu hakuwa dhaifu Bali jasiri kwa kuwa alipambana na shetani mpaka tone lake la mwisho na akafaulu
Sisi binadamu tusioamini kuhusu Mungu likitokea jaribu hukata tamaa
Adamu na hawa hawakuwa majasiri kwa kuwa walikumbwa na tamaa ya kufanana na Mungu yaana kuwa na akili sawa na Mungu kitu ambacho kimetupotosha kwa kuwa tunatenda maovu kuliko mema
 
Mungu na Shetani walikutana wapi kumdiscuss Ayubu!?..
Mungu hakukutana na shetani Bali malaika wa Mungu ndio walienda kukutana na Mungu na ndipo shetani Lucifer naye akajitokeza pia pamoja na hao malaika wa Mungu
Mungu akamuuliza Lucifer nini kimemleta pale na ametokea wapi na Lucifer akajibu alikuwa anazunguka zunguka huko duniani
 
Katika majaribu ya ayubu hakuwa dhaifu Bali jasiri kwa kuwa alipambana na shetani mpaka tone lake la mwisho na akafaulu
Sisi binadamu tusioamini kuhusu Mungu likitokea jaribu hukata tamaa
Adamu na hawa hawakuwa majasiri kwa kuwa walikumbwa na tamaa ya kufanana na Mungu yaana kuwa na akili sawa na Mungu kitu ambacho kimetupotosha kwa kuwa tunatenda maovu kuliko mema
Binadamu tumeumbwa na udhaifu boss, jinsi tunavyopambana nao ndio tofauti!!..
Adamu na Hawa ndio watu wa kwanza na wakaweza danganyika. Shetani akamuingia Hawa na Hawa akamuingia Adam, hii yote kuonyesha udhaifu wao!.
Au kwako udhaifu ni kutokuwa na nguvu!?. Ukiweza kufanyishwa kitu kisicho sahihi huo ni udhaifu!.
Huwa kuna swali tunajiuliza "Ikiwa Mungu alituumba na anajua mawazo yangu na matendo yajayo then anajua letsay miaka 8 ijayo nitakuja kukuua iweje aniache tu ili nije kukuua kiumbe usiye na dhambi, kwanini asiniangamize kukuacha wewe mtiifu?".. Hebu nijibu hili swali kwanza!.
 
Mawazo ya Mungu sio kama ya kwako we unawaza kuua labda kama unaeenda kumuua haamini katika Mungu lakini kama anamini katika Mungu hata kufika kwako kumuua unaweza usifaulu kumuua japo utamchoma kabisa au kumpiga risasi
 
Mungu alimuuliza shetani,umetoka wapi?

Shetani akamjibu ,"nilikwenda kuzurura huko duniani"

hii maana yake ni kuwa shetan alikuwa ni mjumbe katika hilo baraza la miungu,

ndo maana hata katika kisa cha mfalme Ahab,
mungu akiwa katika baraza lake akauliza,"ni jinsi gani tutamfanya mfalme Ahab aishambulia syria ili akafe huko"
baada ya majadiliano ya hapa na pale,shetani akaibuka tena kikaoni na kutoa wazo lake kuwa,atamfanyia Ahab ulaghai ili avamie kule na kufa,
mungu akampa ok,nenda kafanye hivyo,wewe utamweza.

Mind you shetan hapa ametajwa kama a spirit ili kuficha,

katika aya hizi ni kawaida mungu anapotajwa kama Bwana ama Lord automatically wanakuwa wanaamanisha mungu wa israel aitwae Yahwew.

Lakini bado kuna aya za bible zinamtaja Yahwew kuwa ni mwana wa mungu,
sasa hapo ndo mkanganyiko unapoongezeka
 
God and the "Sons of God"

El, the God of Israel
According to Canaanite literature, the god El begot seventy sons through the goddess Asherah: "{El} summons Asherah's seventy children." He summoned his sons to his council (known as "the council of El") over which he presided.
Similarly, the Hebrew god presided over "the council of El": "God has taken his place in the divine council {עדהאלaydaw El = the council of El}; in the midst of the gods he holds judgment." (Psalm 82:1 NRSV) The phrase "in the midst of the gods he holds judgment" indicates that the Hebrew god was surrounded by secondary gods.
Likewise, in this verse: "Before {in front of} the gods will I sing praise to you {God}." (Psalm 138:1 KJV) These secondary gods are called in Hebrew the "sons of El": "Ascribe to Jehovah, you sons of the mighty {בןאלbene Elim = sons of El}, Ascribe to Jehovah honor and strength." ( Psalm 29:1 YLT) Here is another instance where the Hebrew God is called "El" and presides over his council: "God {אלEl} is greatly to be feared in the assembly of the saints, and to be had in reverence of all them {referring to his sons} that are about him." (Psalm 89:7 KJV)
One has to by-pass the English translations to discover that the God was the Canaanite god EL. (Further on we will compare God with the Canaanite El with parallel quotations from ancient texts.)
A Ugaritic poem reads, "Now the gods were seating to eat, the holy ones to dine, Baal attending upon El. ...The gods drop their heads down upon their knees ..." The Canaanite god El and his sons had the same image: the image of man.
The Hebrew God and his secondary gods, had the same image: "And God said {to his secondary gods}, Let us make man in our image, after our likeness." (Genesis 1:26 KJV) Their image was that of a man: they looked like Adam.
In the beginning Adam did not know the difference between good and evil. But God and his secondary gods knew. The serpent told Eve, "... in the day you eat thereof {the fruit of the tree of knowledge}, ... you will be as gods {Heb. elohim}, knowing good and evil." (Genesis 3:5 KJV)
The phrase, "you will be as gods" indicates the existence of other gods, beside God. Had the writer of Genesis believed that there was only one god, he would have written "you will be as God."
When Genesis was written the Hebrews believed there were other gods beside God. Who were those gods the serpent was referring to? The gods to whom God said, "Let us make man in our image." After Adam and Eve ate the fruit, God said, "Behold, the man has become as one of us, to know good and evil." (Genesis 3:22 KJV)
The expression "one of us" indicates that God was talking to his peers: the secondary gods, his sons, the ones mentioned in the following verse: "... when the sons of God came to present themselves before the LORD ..." (Job 1:6 RSV) As mentioned above, God presided over them: "God has taken his place in the divine council {Heb. the council of El}; in the midst of the gods he holds judgment." (Psalm 82:1 NRSV) "I {God} said You are gods, and all of you are sons of the Most High {Heb. Elyon }." (Psalm 82:6 NASB)
The Akkadians had a pantheon similar to that of the Hebrews and the Canaanites. The Akkadian god Marduk corresponded to the Canaanite-Hebrew god El. In the Akkadian Creation Epic the god Marduk was king of the secondary gods called Anunnaki: "Marduk, the king of the gods divided all the Anunnaki above and below ... three hundred in the heavens he stationed them as guard."
The Anunnaki correspond to the "host of heaven" or "sons of God" of the Hebrews. Marduk allotted portions to the Anunnaki: "To the Anunnaki of heaven and earth {Marduk} had allotted their portions." Likewise, the Canaanite-Hebrew god El Elyon allotted portions to his sons: "When the Most High {Heb. Elyon} gave {allotted} to the nations their {portion of} inheritance, when he separated the sons of men, he fixed the bounds of the peoples according to the number of the sons of God." (Deuteronomy 32:8 RSV)
In the following verse these "sons of God" are called the "host of heaven," whom God allotted to all the nations: "... all the host of heaven ... whom the LORD your God has divided to all nations ..." (Deuteronomy 4:19 KJV)
 
Mungu alimuuliza shetani,umetoka wapi?

Shetani akamjibu ,"nilikwenda kuzurura huko duniani"

hii maana yake ni kuwa shetan alikuwa ni mjumbe katika hilo baraza la miungu,

ndo maana hata katika kisa cha mfalme Ahab,
mungu akiwa katika baraza lake akauliza,"ni jinsi gani tutamfanya mfalme Ahab aishambulia syria ili akafe huko"
baada ya majadiliano ya hapa na pale,shetani akaibuka tena kikaoni na kutoa wazo lake kuwa,atamfanyia Ahab ulaghai ili avamie kule na kufa,
mungu akampa ok,nenda kafanye hivyo,wewe utamweza.

Mind you shetan hapa ametajwa kama a spirit ili kuficha,

katika aya hizi ni kawaida mungu anapotajwa kama Bwana ama Lord automatically wanakuwa wanaamanisha mungu wa israel aitwae Yahwew.

Lakini bado kuna aya za bible zinamtaja Yahwew kuwa ni mwana wa mungu,
sasa hapo ndo mkanganyiko unapoongezeka
Hakuwa mjumbe kwa kuwa kikao kilihusu malaika walioenda kukutana na Mungu
 
Shetani haitwi pepo mkuu usilazimishe kitu ambacho hakipo
 
Kwanini canaan na sio cush au put au mizraim??? Hujajibu hilo
Jaribu kuwa mwelewa basi nimekwambia wakati Noah anakunywa zabibu na kulewa hao watoto wengine hawakuwepo kumbuka ni muda mfupi tu baada ya gharika kwisha na waliotoka katika safina walikuwa watoto watatu wa Noah hamu shemu na yafeth pamoja na kanaan mtoto wa hamu
Huyu kanaani ni mtoto wa kwanza wa hamu tatizo lako unafuata Biblia ilivyopanga Biblia inapanga majina kutokana na lengo la Biblia kumjua Mungu
Hao huyo puti, misri kushi walifuata baadae
 
Back
Top Bottom