Yoshua - Amiri jeshi mkuu wa kwanza wa waisrael

Hahahaaa nimeona ila ukiitafsiri vizuri hapajaandikwa shetani kwa maana shetani sio pepo na wala shetani hawezi kuwa mbinguni tena kwa wakati huo wa ahabu mfalme
Pepo aliepewa ruhusa na Mungu anapatikana huko mbinguni na ni kiumbe wa huko mbinguni kwa mujibu wa hilo andiko 1wafalme 19-22
Kumbe SIKU ile shetani wanajadiliana na Yahwew kumuumiza Ayoub walikuwa wapi?.
Wameandika spirit kupunguza ukali wa hii habari na hats ukipitia version mbalimbali za bible utaona juhudi zilifanyika kubadili maana halisi ya aya hiyo
 
Joshua did NOT drive out the native inhabitants of Canaan as the author of Joshua so often assures us, in the strongest of language, that he did.

“Joshua defeated the whole land.” Joshua 10:40

“Joshua took all that land.” Joshua 11:16

“Joshua took the whole land.” Joshua 11:23

Yet, at the end of the Book of Joshau, the author of this book says this:

“Joshua was old…the LORD said to him, ‘very much of the land remains to be possessed.'” Jerusalem had not yet been taken (15:63). Parts of Ephraim had not been taken (16:10). Parts of Manasseh had not been taken (17:12-13).

In fact at the end of the Book of Joshua, Joshua has to persuade the Israelites to drive out the natives living in the land (23:4-5).

I have allotted to you as an inheritance for your tribes those nations that remain, along with all the nations that I have already cut off, from the Jordan to the Great Sea in the west. 5 The Lord your God will push them back before you, and drive them out of your sight; and you shall possess their land, as the Lord your God promised you.

So much for “taking the whole land”, Joshua!
 
Hata kitabu cha daniel kitamu sana ukikisoma.

Pia wafalme na samwel
 
Jua kwanza kisa cha Mungu kuwachukia hawa waperisi na wakanaan ndio uchangie
Tafuta historia ya kanaan mwenyewe
Hutamsema vibaya Mungu
Unaweza ukatusaidia kosa la canaan ni lipi maana unarudia rudia huu uongo sijui unautoa wapi embu leta hapa mstari wa biblia kosa la kanaani ni lipi??
 
Duh mkuu umetisha..... Kwa staili hii JF lazima iogopwe
 
Kumbe SIKU ile shetani wanajadiliana na Yahwew kumuumiza Ayoub walikuwa wapi?.
Wameandika spirit kupunguza ukali wa hii habari na hats ukipitia version mbalimbali za bible utaona juhudi zilifanyika kubadili maana halisi ya aya hiyo
Hivi unajua chanzo cha yaliyompata ayubu ni nini
Ni kweli ayubu hakuwa na kosa na Mungu lakini unajua yaliyompata yalisababishwa na nini
Rudi kuisoma story yote inayomhusu ayubu
 
Unaweza ukatusaidia kosa la canaan ni lipi maana unarudia rudia huu uongo sijui unautoa wapi embu leta hapa mstari wa biblia kosa la kanaani ni lipi??
Kanaan alibebeshwa mzigo wa kosa alilofanya baba yake na Babu yake Noah
 
Alibebeshwa?? Sasa kwanini jana ulimuambia elungata akasome MAJANGA ya canaan kabla hajamtetea yaani ukimaanisha Canaan alipata adhabu aliyostahiki what's that??
 
Jua kwanza kisa cha Mungu kuwachukia hawa waperisi na wakanaan ndio uchangie
Tafuta historia ya kanaan mwenyewe
Hutamsema vibaya Mungu
Post yenyewe hii hapa..... Sasa unaweza tusaidia kosa la kanaan ni lipi??? Kwanini unapenda kupotosha mkuu huoni unashusha hadhi ya jukwaa hili serious lililobaki JF
 
Alibebeshwa?? Sasa kwanini jana ulimuambia elungata akasome MAJANGA ya canaan kabla hajamtetea yaani ukimaanisha Canaan alipata adhabu aliyostahiki what's that??
Hivi unajua damu ni nzito kuliko maji
Kosa la hamu dhidi ya baba yake Noah lilisababisha yote
So huwezi kumtenga kanaan na baba yake hamu kwa kuwa ni damu moja japo hatuonyeshwi kanaan kama kanaan akianza kuwatumikia ndugu zake Bali uzao wake ndio ulikuja kutumikishwa ile asili haipotei wala Laana haipotei itafanya kazi tu
 
Ham alikua na watoto wengi je ni kwanni laana asipewe cush ama put ama mizraim ila apewe canaan??? Huoni kuna ajenda ya siri hapa na ww umeingia kichwa kichwa kusupport
 
Kwa wakati huo hao unaowataja hawakuwa wamezaliwa kumbuka ni muda mfupi tu baada ya gharika kwisha
Hamu Akiwa mtoto wa kwanza wa Noah tayari alikuwa na mtoto aitwae kanaan
 
Haaahhaaaa acha utani basi canaan ndio mtoto wa kwanza ??? Kibiblia majina ya watoto yanapangwa kulingana na umri yaani mkubwa hadi mdogo na Canaan ndio alikua mtoto mdogo kabisa na wa mwisho sasa cjui story ya canaan ndio mkubwa umeitoa wapi

Kingine hamu hakuwa mtoto wa kwanza.... Mkubwa alikuwa shem mkuu hizo taarifa za upotoshaji cjui unatoa wapi asee... Hamu alikua mtoto wa mwisho soma mwanzo 9:24

Bado nasubiri unipe sababu ya canaan kulaaniwa
 
Naona mkuu umemuamulia huyu mlokole.

Unampa za uso kwenye kila uongo wake anaopost JF.
 
Haaahhaaaa acha utani basi canaan ndio mtoto wa kwanza ??? Kibiblia majina ya watoto yanapangwa kulingana na umri yaani mkubwa hadi mdogo na Canaan ndio alikua mtoto mdogo kabisa na wa mwisho sasa cjui story ya canaan ndio mkubwa umeitoa wapi

Kingine hamu hakuwa mtoto wa kwanza.... Mkubwa alikuwa shem mkuu hizo taarifa za upotoshaji cjui unatoa wapi asee... Hamu alikua mtoto wa mwisho soma mwanzo 9:24

Bado nasubiri unipe sababu ya canaan kulaaniwa
Shemu hakuwa mkubwa japo kwenye Biblia anaanza kutajwa yeye Kisha hamu na yafethi
Biblia inaanza kumtaja kwa kuwa alikuwa anamsikiliza Mungu kuliko hao wengine lakini kihistoria shemu sio mtoto wa kwanza wa Noah
 
Mungu hajampa udhaifu binadamu Bali udhaifu tumejipa wenyewe
Binadamu tumejipaje udhaifu!?..Me nilijua binadamu ni dhaifu toka kaumbwa ndio maana aliweza danganywa akala Tunda.
Shetani alipokutana na Mungu wakambetia Ayubu kuwa ni dhaifu ina maana Ayubu alijipa udhaifu.
 
Hahahaaa nimeona ila ukiitafsiri vizuri hapajaandikwa shetani kwa maana shetani sio pepo na wala shetani hawezi kuwa mbinguni tena kwa wakati huo wa ahabu mfalme
Pepo aliepewa ruhusa na Mungu anapatikana huko mbinguni na ni kiumbe wa huko mbinguni kwa mujibu wa hilo andiko 1wafalme 19-22
Mungu na Shetani walikutana wapi kumdiscuss Ayubu!?..
 
Unaweza ukatusaidia kosa la canaan ni lipi maana unarudia rudia huu uongo sijui unautoa wapi embu leta hapa mstari wa biblia kosa la kanaani ni lipi??
Uzuri wa maandiko ya biblia ni kuyaleta then jiweke pembeni tafsiri sasa hili andiko lina makosa mengi sana!.
Mara binadamu hatukuumbwa dhaifu, mara shetani haendi mbinguni, Yoshua aliiteka Kanaani yote, Kuiogopa kanaani kuliwafanya wasote jangwani haya yote ni makosa ya tafsiri za mwandishi.
 
Back
Top Bottom