Hakika wafanye hivyo
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers
Daah... hii ya kulia imenifurahisha.... sanaMimi sio motivation speaker lakini nafikiri ni moja kati ya the strongest people i know
Nimepitia pitia mengi lakini kujua ni ngumu hadi niseme
1. Sijawahi kubadili mawazo na maisha yangu yakabadilika, lakini nimewahi kubadili mawazo yangu nikapata unafuu wa nafsi
2. Nikiwa na mawazo ya pressure ya kazi/mahusiano huwa natoa uchungu kwa kulia( mimi ni mliaji haswaaa) kwa mahusiano na kama pressure ya kazi njia pekee ni kufanya kazi kuziba hivyo vipengele vinavyoleta pressure
3. Positive thinking ni nzuri lakini haifanyi kazi kwa kila case
Daah... hii ya kulia imenifurahisha.... sana
Umesema kulia umenikumbusha mbali. Nimemiss kubembeleza 😁😁Mimi sio motivation speaker lakini nafikiri ni moja kati ya the strongest people i know
Nimepitia pitia mengi lakini kujua ni ngumu hadi niseme
1. Sijawahi kubadili mawazo na maisha yangu yakabadilika, lakini nimewahi kubadili mawazo yangu nikapata unafuu wa nafsi
2. Nikiwa na mawazo ya pressure ya kazi/mahusiano huwa natoa uchungu kwa kulia( mimi ni mliaji haswaaa) kwa mahusiano na kama pressure ya kazi njia pekee ni kufanya kazi kuziba hivyo vipengele vinavyoleta pressure
3. Positive thinking ni nzuri lakini haifanyi kazi kwa kila case
Hahahaaaa ......uko vizuri mwaya inaleta afya sana endelea kabisa... unapandisha na key....Mie karibia kila kitu nalia
Kwani kwenye 1 na 2 wanawake huwa hawalii...Umesema kulia umenikumbusha mbali. Nimemiss kubembeleza
Asaivi sijui ndo tumekua/ mtu mzima halii. Hizo moments sipati tena .
Umesema kulia umenikumbusha mbali. Nimemiss kubembeleza 😁😁
Asaivi sijui ndo tumekua/ mtu mzima halii. Hizo moments sipati tena .
Positive thinking inasaidia, Binafsi inaniletea energy ya kusimama tena au kufanya maamuzi.Habari wadau wa JF,
Unavuta Kile Unachowaza na Kuamini: Akili Yako Ni Adui Au Nguvu Yako Kubwa?
Nimekuwa nikijiuliza sana hivi karibuni;
Kwa nini watu wawili wakipitia changamoto ile ile, mmoja anaona fursa na mwingine anaona mwisho wa dunia?
Nimegundua kitu kimoja Life does not give you what you WANT, it gives you what you BELIEVE.
Ukiamini pesa ni ngumu, utaona ni ngumu kweli. Ukiamini hakuna kazi Dar, hutapata. Ukiwaza kila siku "nimezimiwa, naonewa, sitaweza" ubongo wako utatafuta ushahidi wa kukuthibitishia kuwa uko sahihi.
Mifano
•Ukianza siku ukisema "leo itakuwa mbaya", hata daladala ikichelewa kidogo unasema "nimejua tu".
•Ukiamini "watu hawapendi kununua online", hautajitahidi kuuza vizuri.
Swali langu kwenu wadau;
1. Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli? Toa mfano.
2. Unafanyaje ku-control mawazo hasi hasa ukiwa kwenye pressure ya pesa/kazi?
3. Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
Natoa mwaliko tujadili kwa hekima,
Karibuni.
Apo nashindwa kutoa muongozo 😁😁Mtu mzima ni kuanzia miaka mingapi kwanza? 😆
Manake bila kulia sitoboi
Utu Uzima sio umri ni experienceMtu mzima ni kuanzia miaka mingapi kwanza? 😆
Manake bila kulia sitoboi
Unamdekea nani dada🤔Kuhusu kudeka nilikuwa nakataa sana lakini ukweli nadeka