You Attract What You Think and Believe - Is Your Mind Your Biggest Enemy or Power?

Na project yangu nawaza niifanye ila naogopa what will happen naona kufeli kunanikaa kichwani, toka 2024 till now sijafanya ingawa kila nilipoanza hatua za awali sijawahi kufeli, positive thoughts ndio yalinifanya nikachukua hatua ndogo na zikaanza kutoa mwangaza ila badae tena nimerudi zero
 
No one to blame hapo, issue ni wewe " consistency"
 
No one to blame hapo, issue ni wewe " consistency"
Ni kweli ila sijui kwanin nakuwa nawaza negatively huenda nikafeli, matarajio niliuoyaona akilini itakuaje?
Hata hapa nilipo kazi nayojishughulisha zaman ndio nilikuwa na passion nayo ila kwasasa naona passion inapotea sijui ni umri au sipendi jifunza,

Ila hio project ndio iko moyoni najiona. huko ndiko kunanifaa. Yani sielewi mkuu
 
Haya ukimaliza kusoma nijibu haya maswali yangu mawili..

-Je, umewahi kubadilisha mawazo yako na maisha yakabadilika kweli?

-Unadhani ni kweli "Positive thinking" inafanya kazi au ni porojo za motivational speakers?
hapo umeuliza swali ni moja na umelitenganisha mara mbili.

Ndio inawezekana kubadilisha maisha kwa kubadili mawazo yako kwa kuamini(kuona rohon unacho) na kukifata kwa juhudi na ukafanikiwa.

na postive thinking inafanya kazi endapo ukiamin bila kipingamizi chochote.
kwani negative thinkin huwa ndo inanguvu kuliko postive.
kwa mfano unawaza hii biashara/kitu nikifanya napiga hatua.
shida inaanzia unaanza kuwaza vikwazo(negative thinking) na kujion hautimii.
basi hapo negative energy itakuwa na nguvu zaid ya postive na utaahilisha au ukifanya na bado unawaza negative haufk mbali.

kawaida kujiwazia mazuri tu, vikwazo visikupe presha chukulia poa yatapita na kweli yanapita
 
Umesema vyema babu naendelea kujifunza ✍🏽
 
Safi kabisa, nimeona wewe umeenda mbali zaidi katika maswala ya kiroho, umeona ubongo pekee hautoshi ila imani yako pia anahitajika katika kutimiza jambo ulilokusudia!
 
Unajua Mkuu,
Kwa nini nimesema hivyo: kwa sababu inaonekana umetanguliza kuwaza hali ya kutofikia lengo (-ve) kuliko kufikia lengo(+ve) jambo linalokufanya kupata hofu zaidi badala ya kuona ushindi. Kumbuka kila kitu kinafanya kazi katika uwili kamilishani " dichotomy of the same thing" . Mambo ni yale yale kinachobadilika ni mawanda ya nguvu. Furaha ni furaha katika mawanda ya juu ila furaha hiyohiyo ni huzuni unapokuwa katika mawanda ya chini " low energy level".

Hofu ni uongo unaojaribu ku- distort uhalisia wako kwa kukufanya ufanye kazi katika mawanda ya chini ya nguvu zako ingawa unaweza kufanya kazi hiyo katika mawanda ya juu.

Jambo la kufanya ni kukubali kuwa kipo unachokijua haswaa, na ndiyo passion yako, haya mawazo mengine yawe chanya au hasi yanapita tu kukuimarisha kufikia kile unachokijua "you are the vilan, the master of your destiny". Jambo kubwa ni JITAHIDI SANA KUONGEZA MAWANDA YAKO YA NGUVU KWA KUYAFANYA KUWA JUU.

Ili chaji itembe katika seli au betri tunafahamu kuna (+ve and-ve) na umeme ndiyo unatembea hivyo. Una bahati sana Mkuu, nature has blessed you.
 
Safi kabisa, nimeona wewe umeenda mbali zaidi katika maswala ya kiroho, umeona ubongo pekee hautoshi ila imani yako pia anahitajika katika kutimiza jambo ulilokusudia!
NIKWEL, UNAJUA NIMEKUJA KUGUNDUA UKIAMINI UNASTAHILI NA UKAWA HUNA PRESHA NACHO NA KWELI UTASTAHILI NA HUTOJISUMBUA KUKIPATA KITU.
KIKUBWA MITETEMO YAKO TU YA MVUTO JUU YA HIKO KITU IWE HIGH VIBRATION, KUSIWEPO NA CHEMBE YA MAWAZO YA KIPINGAMIZI TU

IWE PESA/MALI MWENZA N.K
 
Uliamini baada ya kuona matokeo lakini au uliamini tu haijalishi what may come?
 
Sawa mkuu ngoja nijikongoje
 
Umegusia hoja muhimu sana ndugu "high vibration".
Katika ulimwengu wa mahali na muda (space-time) angalau tunachoweza kukiboresha ni mawanda yetu ya nguvu " our energy level'

Muda wenyewe unapita hata sasa
 
Uliamini baada ya kuona matokeo lakini au uliamini tu haijalishi what may come?
niliamin itakuwa nikafanya mchakato na kweli ikawa..

Sema nimegundua kinachotufelisha ni mawazo hasi na comfort zone ulipo cjui tuseme ni mazoea na kuanza maisha mapya inakua na ugumu kwa sababu ya kuwaza negative
 
niliamin itakuwa nikafanya mchakato na kweli ikawa..

Sema nimegundua kinachotufelisha ni mawazo hasi na comfort zone ulipo cjui tuseme ni mazoea na kuanza maisha mapya inakua na ugumu kwa sababu ya kuwaza negative
Kabisa! Means mafanikio ni wewe mwenyewe, yanaanzia akilini na jinsi unavyoyachukulia kisha unachukua hatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…