You cant be a rich, without shady or dirty deals

You cant be a rich, without shady or dirty deals

Hapo hamna tajiri safi hata moja, hujui biashara zao vizuri neenda ukagoogle kwanza
Hivi hiyo Google mnaiaminia sana kama vile lazima kila kitu kiwe huko....amini hizo data mnazopata huko zimewekwa na watu kama mie na wewe...turudi kwenye za kuambiwa....kwa maana kuwa utajiri ni siri(code) na haitamkwi kirahisi namna hiyo, iwe safi au chafu na hata huko google au kwenye vitabu vyote vinavyoeleza kuhusu na namna za kuupata inabidi uunge sana mpaka uifungue tofauti na hapo tuendelee kulipa kodi.
 
Utajiri wa halali upo lkn hauwezi kupatikana kwa kizazi kimoja. Utajiri wa halali hutokana na kuwa na mtaji mkubwa utakaoutumia kuzalisha faida from time to time.
Sasa wewe kutamani kufika ngazi za kina Bakhressa bila mtaji ndio inakifikisha huko kudhani dirty deals is the only way.
Utajiri kupatikana ni lazima capital iwe imekusanywa from time to time na misingi kujengwa. Tuepuka kukosea kanuni fulani za maisha.
well
 
Back
Top Bottom