You must be kidding me! - 21.9Millions USD?

You must be kidding me! - 21.9Millions USD?

Tulisahau tu kumwomba ile sheria yao inayoshughulikia wala rushwa wakubwa kama wanasiasa, watendaji wakuu wa serikali na taasisi za UMMA.

Msaada huo hawezi kutupa kamwe, yuko tayari kutuongeze USD zingine milioni 100 ili tuendelee kuwa wababaishaji hivi hivi na aje achume anachokitaka miaka 10 ijayo kuliko akuletee siri kubwa ya mafanikio yake.

Moja ya siri za mafanikia makubwa ya kiuchumi ya China ni utawala wa sheria kali na kutolindana. Kuna mahali niliwa kusoma humu JF kwamba katika kuliweka taifa lao sawa, serikali ililazimika kuwauwa mafisadi 70! Baada ya hapo, mambo yakaanza kwenda sawa na kwa kasi ya ajabu. Mwaka 2025 China linatarajiwa kuwa taifa tajiri kuliko yote duniani!

Kwa bahati mbaya sana, Tanzania itakuwa bado masikini wa kutupwa na tena si ajabu wakati huo Rais atakuwa mtoto wa mojawapo wa maraisi wastaafu! Yaani wale wale!
 
2009-02-17 08:24:00

kikwete: Why African leaders prefer Beijing

By Vicent Mnyanyika and Irene Mchomvu
THE CITIZEN

President Jakaya Kikwete said yesterday China has rapidly become a favourite bilateral partner of developing countries because it was offering aid with "few strings".

"There are no demands - undue demands," said President Kikwete while speaking in Dar es Salaam on the last day of Chinese President Hu Jintao's three-day state visit to Tanzania.

The Chinese President arrived in the country Saturday and left yesterday after signing four development agreements with the Union and Zanzibar governments.

He urged Tanzania to strengthen ties with his country during a visit seen as a deliberate move by Beijing to expand its economic activities in the country, and Africa in general.

"There are many questions we get why China why now and the answer is why not?" President Kikwete said at a joint morning address with his Chinese counterpart.

In a veiled criticism of Western donors, President Kikwete said China had "no hidden agenda" but its aid policies were based on "mutual respect" of the interests of recipient nations.

"There is no any hidden agenda in our cooperation with China, it is a relationship based on mutual understanding and equality; they understand our situation," he said.


He told a huge gathering comprising ministers, civil society, political leaders, diplomats, business community, academicians and students that he was optimistic about Tanzania's relations with China.

And President Kikwete assured his guest that Tanzania would safeguard and deepen China-Tanzania relations.

President Jintao signed agreements that will see China extending grants totalling 150 million yuan ($21.95 million or Sh30 billion) to Tanzania for development projects.

The bilateral agreements centred on economic cooperation, exports, and youth volunteer programmes.

The Chinese leader announced 182 mostly science scholarships, and 50 exchange programme opportunities for Tanzanians to study in China.

He also said Beijing was in the process of expanding trade and investment in Africa aimed at strengthening practical cooperation.

He spoke about the global financial crisis pledging full support to developing countries to mitigate the impact of the biting recession.

"The impact of the crisis on economies around the world is still deepening and its grave consequences will be felt more acutely in days to come," he said.

However, he urged rich countries to "assume due responsibilities and obligations" to continue delivering on their aid and debt relief commitments; and to "maintain and increase assistance to developing countries".

China would focus on "strengthening solidarity and mutual assistance" with African nations to help the continent meet the challenges of the global meltdown, he said.

Mr Jintao said China would enhance mutual trust through strategic dialogue and consultations, and cement its political relations with the continent.

He urged the two sides to "raise the level of practical economic cooperation and trade on the basis of reciprocity and mutual benefit".

The Chinese leader left for Mauritius where he is expected to wind up his four country tour in Africa that included Mali and Senegal.

He said he felt "at home" in Africa: "This is the sixth time for me to set foot on Africa soil. Every time I come, it is like coming back home."

"And every time I talk to our African friends and listen to their views on China, China-Africa relations and world affairs, I get new inspiration," said the Chinese leader.


President Jintao joins the list of leaders of world powers to visit Tanzania in less than a year after former US President, George W. Bush.

In recent years, China has rivalled the United States, France and international financial institutions for influence in Africa.

Critics say China has developed more sophisticated and alluring strategies and tools for wooing Africa. Aid coming in forms of grants, not loans as that from other donors, is the most important of China's tools.

They say the world's emerging super power is dramatically boosting its aid to Africa- aid it can provide with few strings but which is primarily tied to its political and strategic economic goals on the continent, rather than humanitarian reasons.

In 1998, China provided just $107 million in aid to Africa. But by 2004, it had boosted its aid to $2.7 billion. By 2007, more than 700 Chinese companies were said to be active in Africa, and trade between China and the continent was now worth $55 billion.

But the country has also been accused of exploiting the continent's wealthy natural resources, and of using Africa as a dumping site for its poor quality products.

China gets roughly a third of its oil and many other important natural resources from African countries. These assets, critics say, have helped fuel China's remarkable economic growth.
 
Kikwete, Watanzania wa leo siyo wale wa mwaka 47.
 
analysis yako nimeikubali MMKJ!!! tatizo tanzania sio umaskini bali ni ubadhirifu na vipaumbele
 
analysis yako nimeikubali MMKJ!!! tatizo tanzania sio umaskini bali ni ubadhirifu na vipaumbele
 
Wachina hawatoi missaada wanatumalizia nchi yetu hii hela wataleta wafungwa kutoka kwao wawafanyishe kazi kama mapunda. Alafu watajaa kariakoo kutunyanyasa na kutuuzia bidhaa duni. Kwana wao maskini kama sisi watatusaidia nini. Wanatafuta mali ghafi wakaendeleze kwao sio kwetu. Misitu yetu wamemaliza. Hatutakiki misaada ya kimaskini naunga hoja ya MM.
 
Jambo la maana sana kuliko hiyo milioni 21 ni kama ingetangazwa kwamba wakulima wa nyanya Ilula wamepata soko China, soko la chai la uhakika limepatikana huko china, au soko la ndala za kiwanda cha Bora zitauzwa huko, au bia yetu Imepata wanywaji china, au watalii 1000 watatembela TZ kila mwezi kutoka China. Hapo kungekuwa na uhakika wa ajira, kodi na ripple effect yake ni kubwa na ya kudumu kuliko hiyo milioni 21.
Otherwise pls spare me from this stupidity.
 
.....Ingawaje waswahili wanasema..cha bure hakina nyongeza....
.....lakini sisi tunaona msaada huo ni vijisenti tu.............
 
To put it in other words..

Kiasi hicho ambacho tunakishangalia ni chini ya kiasi ambacho JK mwenyewe aliweza kutoa kwa mikoa yote na baadaye kikajulikana kama "mabilioni ya Kikwete"..

La maana soma signature yangu tena...

Lakini JK akikitoa kiasi hicho hakibaki tena, pesa hizi si kama maji ya bahari kwamba ukichota yanabaki tu.

Ninaelewa kuwa tegemezi si kitu kizuri, lakini hii approach ya "You must be kidding me" ndiyo inawafanya watu waseme "shukurani ya punda" na "beggars cannot be choosers".

To paraphrase that infamous wordsmith by the name of Rumsfeld "You don't go to war with the army you want to have, you go to war with the army you have" Kwa hiyo kama tumechemsha kwa kuwa tunahitaji msaada huu mdogo sawa, waseme wakubwa kwa kutufikisha hapa kuhitaji msaada huu mdogo, lakini usiwaseme kwa kuukubali, kwa sababu hata kama ungekuwa msaada wa $ 1,000 nina hakika ungeweza kusaidia kitu fulani.

hapo katika uhasibu unaambiwa debit ni debit na credit ni credit, hujawahi kuona mtu anashupalia charge na thumni au kufurahia kuokota shilingi?

Zaidi ya hapo misada mingine hii (simaanishi kutetea utegemezi, ila ukweli ni kwamba tunaihitaji) inakuwa inafungua njia za uhusiano mzuri zaidi wa kidiplomasia na hata kufanya biashara zaidi.Kwa hiyo tusitake kukataa dili kwa sababu dogo wakati halitugharimu chochote.

Now if you were talking about our position in the international community, some international relations shenanigans vis-a-vis thje post cold war cold war, the Bush money and the Kikwete tightrope in the wake of the new Obama Administration, and this sum being too small a bait fopr tarnishing our relationship with Uncle Sam while entertaining trade with commie China, hapo kidogo ungeweza kuanza kuwa na case ya ku present.
 
Hu ametoa msaada/mkopo dola 200 m kwa Mauritius kujenga Modern Airpot...sisi tumepata 22m yaani 10%!

Our priorioty was ktk mpira wenzetu Mauritiuos ni ktk Morden Airpot!

Sasa tumlaumu nani Watz????

Je tuna problem ktk prioritization as a country????
 
Hu ametoa msaada/mkopo dola 200 m kwa Mauritius kujenga Modern Airpot...sisi tumepata 22m yaani 10%!

Our priorioty was ktk mpira wenzetu Mauritiuos ni ktk Morden Airpot!

Sasa tumlaumu nani Watz????

Je tuna problem ktk prioritization as a country????

Nadhani Pres. Hu ametoa misaada/mikopo hiyo kwa kuzingatia ukubalikaji wa wafanya biashara wa China katika nchi anazo tembelea. Mauritius imewapokea sana waChina na miradi yao mikubwa karibu yote inafanywa na wachina. Nadhani hiyo ndio asante yake kwao. Msafara wake wote ni wa wafanya biashara wakubwa wa China wenye kampuni zao Africa. Nadhani hao wana mchango mkubwa kuhusiana na nchi anazotembelea sasa (Africa) na kiasi cha misaada ya kutoa kwa nchi hizo. Wachina wako very organised katika hilo.

Ni kweli kuwa priorities zetu zime-shift. Haziendani na nia ya maendeleo ya muda mrefu.

Lakini all in all, inabidi tujipange kufanya mipango yetu wenyewe na kuifanikisha wenyewe. Haya mambo ya kusubiri Hu afurahi ndipo tupate pesa za kufanya mambo, nadhani umepitwa na wakati (kama kuna wakati ambapo ulifaa).
 
Back
Top Bottom