Vipi tena Mbu? Kloro aliwahi kuniambia anampenda...ndo maana nimeweka jina hapo...lol
Mstaafu bana! kweli hii holidei ilinidhuru na inaendelea kunidhuru na madaktari wenyewe bomu.Wewe Kloro wewe??
Hii ndiyo taabu ya kupata mapumziko ya muda mrefu...extended holidays ni hatati sana aisee!!!
Dah! heri ya mwaka mpya chwitiiii, niliaga bana labda nilowaambia ndio walizembea kutaarifu. Lawyer haagi hazaraniHeri ya mwaka mpya swahiba...nilivoona tu mwandiko wako mapigo ya moyo yakabadili mwelekeo! Usipotee hivyo bana au uwe unaaga! Karibu jf.
sekretari nilimuambia lakini nazani ana kaaibu flani akaamua kuuchuna, nitatafta mwengine aisee....kuna thread ilikuwapo hapa majuzi ati kachomwa visu...
sasa kuhushishwa na klorokwini mnh!...
kuna waliosema kasombwa na mfuriko ya mto msimbazi,...e bana klorokwini wewe ndio selebriti wetu hapa
...hebu weka ile namba ya sekretari wako just in case!
Rangi ya kahawa ni nyeusi kwanini unaitabiria umanjano?Lawyer umeshasema hutaki guesses. . .sasa nifanyeje?
Halaf kuna mzembe alisema anakumaindi, mimi nilijifanya bro wako, nishamlia hela zake. Mjini apa bana
...kuna thread ilikuwapo hapa majuzi ati kachomwa visu...
sasa kuhushishwa na klorokwini mnh!...
kuna waliosema kasombwa na mfuriko ya mto msimbazi,...e bana klorokwini wewe ndio selebriti wetu hapa
...hebu weka ile namba ya sekretari wako just in case!
Usinilaumu mimi bana ilaumu seriikali ya CCM.Kloro una roho ya kifisadi,si ungenigea iyo hela wajua mwenzio hata kazi sina?? nimekusamehe,usirudie tena...sipendi!
hehehe dah! huyu ndio michelle bana, hata akibeba ujauzito tumbo halionekaniMh, anayeweka zile thread ni Kloro ili apate sympathy ya mademu...hivi nyie hamjausoma ule mchezo??
Eliza wa Tegeta yupo sana tu....nimepishana nae leo.....!
Rangi ya kahawa ni nyeusi kwanini unaitabiria umanjano?
@ klorokwini sante lawyer mie nimefurahi kukuona tena jamvini...wazushi walishaanza ooh kloro kafulia hana hela ya kefu..., ulowaambia wakuagie nao wapo kitandani toka januari mosi, hivi unadhani f'tablet atakuwa anasumbuliwa na nini haswa?
Usinilaumu mimi bana ilaumu seriikali ya CCM.
Aisee, niilaumu kwa kukuwezesha wewe kutumia hela za mwanaume mwenzio bila hata kulipa kodi??
hehehe dah! huyu ndio michelle bana, hata akibeba ujauzito tumbo halionekani
@ klorokwini sante lawyer mie nimefurahi kukuona tena jamvini...wazushi walishaanza ooh kloro kafulia hana hela ya kefu..., ulowaambia wakuagie nao wapo kitandani toka januari mosi, hivi unadhani f'tablet atakuwa anasumbuliwa na nini haswa?
Ndo raha ya kuwa mwembamba....unaenda labour watu wanadhani naenda pima malaria....surprise...baby Kloro!
Third person eeeh?Embu taja bana bibie afurahi. . . Au unaogopa kugonganisha bajaji?
Hao wazushi achana nao, mimi nimeajiriwa forum flani ya kibangaladesh , nalipwa kila post ninayorembea hewani rupia mia mbili za kidosi.
Hapo red, fellow tablet alizuriwa na supu ya chura, alimtongoza mchina bana alipofika nyumbani kwa mchina staftahi ikawa supu ya chura.
Usimshtue kama nimekwambia lakini[/QUOT
utasutwa!........
na umbea wako..lol..ina maana hujui ka ni mafua 2?....mie hata ckujua kama kijana anaumwa, threads za maombolezo ziliniteka haswaaa.....huyo kaomboleza klo kweli?...miss u mdada!
ujauzito wangu wa ujana....nakaribia ukingoni ndio naulizwa kama mjamzito..... naumwa uchungu hawakuamini, wembamba mzr aisee.....
Third person eeeh?
bribe me not money