You title it.......

You title it.......

Wewe Kloro wewe??

Hii ndiyo taabu ya kupata mapumziko ya muda mrefu...extended holidays ni hatati sana aisee!!!
 
Heri ya mwaka mpya swahiba...nilivoona tu mwandiko wako mapigo ya moyo yakabadili mwelekeo! Usipotee hivyo bana au uwe unaaga! Karibu jf.
 
Vipi tena Mbu? Kloro aliwahi kuniambia anampenda...ndo maana nimeweka jina hapo...lol

...kuna thread ilikuwapo hapa majuzi ati kachomwa visu...
sasa kuhushishwa na klorokwini mnh!...

kuna waliosema kasombwa na mfuriko ya mto msimbazi,...e bana klorokwini wewe ndio selebriti wetu hapa
...hebu weka ile namba ya sekretari wako just in case!
 
Wewe Kloro wewe??

Hii ndiyo taabu ya kupata mapumziko ya muda mrefu...extended holidays ni hatati sana aisee!!!
Mstaafu bana! kweli hii holidei ilinidhuru na inaendelea kunidhuru na madaktari wenyewe bomu.
uchune tu kamanda

Heri ya mwaka mpya swahiba...nilivoona tu mwandiko wako mapigo ya moyo yakabadili mwelekeo! Usipotee hivyo bana au uwe unaaga! Karibu jf.
Dah! heri ya mwaka mpya chwitiiii, niliaga bana labda nilowaambia ndio walizembea kutaarifu. Lawyer haagi hazarani

...kuna thread ilikuwapo hapa majuzi ati kachomwa visu...
sasa kuhushishwa na klorokwini mnh!...

kuna waliosema kasombwa na mfuriko ya mto msimbazi,..
.e bana klorokwini wewe ndio selebriti wetu hapa
...hebu weka ile namba ya sekretari wako just in case!
sekretari nilimuambia lakini nazani ana kaaibu flani akaamua kuuchuna, nitatafta mwengine aisee.
 
Halaf kuna mzembe alisema anakumaindi, mimi nilijifanya bro wako, nishamlia hela zake. Mjini apa bana

Kloro una roho ya kifisadi,si ungenigea iyo hela wajua mwenzio hata kazi sina?? nimekusamehe,usirudie tena...sipendi!
 
...kuna thread ilikuwapo hapa majuzi ati kachomwa visu...
sasa kuhushishwa na klorokwini mnh!...

kuna waliosema kasombwa na mfuriko ya mto msimbazi,...e bana klorokwini wewe ndio selebriti wetu hapa
...hebu weka ile namba ya sekretari wako just in case!

Mh, anayeweka zile thread ni Kloro ili apate sympathy ya mademu...hivi nyie hamjausoma ule mchezo??

Eliza wa Tegeta yupo sana tu....nimepishana nae leo.....!
 
@ klorokwini sante lawyer mie nimefurahi kukuona tena jamvini...wazushi walishaanza ooh kloro kafulia hana hela ya kefu..., ulowaambia wakuagie nao wapo kitandani toka januari mosi, hivi unadhani f'tablet atakuwa anasumbuliwa na nini haswa?
 
Kloro una roho ya kifisadi,si ungenigea iyo hela wajua mwenzio hata kazi sina?? nimekusamehe,usirudie tena...sipendi!
Usinilaumu mimi bana ilaumu seriikali ya CCM.

Mh, anayeweka zile thread ni Kloro ili apate sympathy ya mademu...hivi nyie hamjausoma ule mchezo??

Eliza wa Tegeta yupo sana tu....nimepishana nae leo.....!
hehehe dah! huyu ndio michelle bana, hata akibeba ujauzito tumbo halionekani
 
@ klorokwini sante lawyer mie nimefurahi kukuona tena jamvini...wazushi walishaanza ooh kloro kafulia hana hela ya kefu..., ulowaambia wakuagie nao wapo kitandani toka januari mosi, hivi unadhani f'tablet atakuwa anasumbuliwa na nini haswa?

Hao wazushi achana nao, mimi nimeajiriwa forum flani ya kibangaladesh , nalipwa kila post ninayorembea hewani rupia mia mbili za kidosi.
Hapo red, fellow tablet alizuriwa na supu ya chura, alimtongoza mchina bana alipofika nyumbani kwa mchina staftahi ikawa supu ya chura.
Usimshtue kama nimekwambia lakini
 
Usinilaumu mimi bana ilaumu seriikali ya CCM.

Aisee, niilaumu kwa kukuwezesha wewe kutumia hela za mwanaume mwenzio bila hata kulipa kodi??

hehehe dah! huyu ndio michelle bana, hata akibeba ujauzito tumbo halionekani

Ndo raha ya kuwa mwembamba....unaenda labour watu wanadhani naenda pima malaria....surprise...baby Kloro!
 
@ klorokwini sante lawyer mie nimefurahi kukuona tena jamvini...wazushi walishaanza ooh kloro kafulia hana hela ya kefu..., ulowaambia wakuagie nao wapo kitandani toka januari mosi, hivi unadhani f'tablet atakuwa anasumbuliwa na nini haswa?

na umbea wako..lol..ina maana hujui ka ni mafua 2?....mie hata ckujua kama kijana anaumwa, threads za maombolezo ziliniteka haswaaa.....huyo kaomboleza klo kweli?...miss u mdada!
 
Ndo raha ya kuwa mwembamba....unaenda labour watu wanadhani naenda pima malaria....surprise...baby Kloro!

ujauzito wangu wa ujana....nakaribia ukingoni ndio naulizwa kama mjamzito..... naumwa uchungu hawakuamini, wembamba mzr aisee.....
 
Hao wazushi achana nao, mimi nimeajiriwa forum flani ya kibangaladesh , nalipwa kila post ninayorembea hewani rupia mia mbili za kidosi.
Hapo red, fellow tablet alizuriwa na supu ya chura, alimtongoza mchina bana alipofika nyumbani kwa mchina staftahi ikawa supu ya chura.
Usimshtue kama nimekwambia lakini[/QUOT

utasutwa!........
 
na umbea wako..lol..ina maana hujui ka ni mafua 2?....mie hata ckujua kama kijana anaumwa, threads za maombolezo ziliniteka haswaaa.....huyo kaomboleza klo kweli?...miss u mdada!

Dah! mbona usiku usiku na si kawaida yako honey? kwema? au leo zamu yangu msukuma kapotea jangwani?
 
[/QUOT

utasutwa!........[/QUOTE]

Kama katika wasutaji na wewe utakuwemo, njooni haraka aisee.
 
ujauzito wangu wa ujana....nakaribia ukingoni ndio naulizwa kama mjamzito..... naumwa uchungu hawakuamini, wembamba mzr aisee.....

Yaani wembamba wangu nitautetea hata kama nusu ya mshahara itaenda GYM, mtu unatoka kazini unapitia zako hospitali na pochi lako lenye kila kitu....unawapigia tu jamani sasa ndo muda wa kisu/kujifungua....just in case....lol
 
Back
Top Bottom