Dah! mbona usiku usiku na si kawaida yako honey? kwema? au leo zamu yangu msukuma kapotea jangwani?
Yaani wembamba wangu nitautetea hata kama nusu ya mshahara itaenda GYM, mtu unatoka kazini unapitia zako hospitali na pochi lako lenye kila kitu....unawapigia tu jamani sasa ndo muda wa kisu/kujifungua....just in case....lol
[/QUOT
utasutwa!........
heheeh yule tena?Hahaha. . . acha uzushi wewe. Nikikupa kidate na yule unaemuota kila siku utafunguka?
hehehe mimi nikikuona wewe bana navua na pete ya ndoa kabisa yaani ili kuuwa ushahidi, na leo umekuja usiku usiku basi hata harufu ya soksi zangu siisikiii, khaaa! kupenda ugonjwa wajamenina kupotea kwako....nimetelekezwa na leo? nipo nipo kama nyanya za nyongeza nimefurahije kukuona leo? 2malizane pm...lol
heheeh yule tena?
inshallaah dearest....mie nilikuwa sichagui, makande/dagaa/bamia /samaki etc....hahahhaha walikuja kujua uchugu ukinihusu, pweeeeh huyo wakwanza, wa pili alijulikana ktkt....wa kwanza niliwapa wa2 mshtuko haswaa, chuo/uchumba/mimba....imagine!
Lizzy bana! Hivi inawezekana kweli Kikwete asijielewe kuwa yeye ndio rais wa Tanzania? , acha izo banaWe kwani unamtaka yupi?Huyu?
Yupo mmoja tu jibaba, yale makoloni wewe malizana nayo tu, mimi leo natubu zambi zangu mbele ya PAWHuu uzi kwa ajiri ya demu wa geti au uswazi?
Excellent kabebwa na mafuriko nini?Oh baby thanx me too
Excellent kabebwa na mafuriko nini?
Huu uzi kwa ajiri ya demu wa geti au uswazi?
Lizzy bana! Hivi inawezekana kweli Kikwete asijielewe kuwa yeye ndio rais wa Tanzania? , acha izo bana
nipe nyepes nyepes basihahahahaha kweli umepitwa na mengi honeypie
Wote. . .
Kama haya ni kweli basi hafai kuwa rais lolHehehhehe mbona kuna siku mpaka akumbushwe? Do the needful.
nipe nyepes nyepes basi
Isje kuwa umeniota ili nikasaidie hela ya kumkomboa excellent, manake nyinyi wadada kwa sapraiz bana .alikumbwa na mafuriko na misaada imechelewa kutoka nahisi karudi mabondeni,missed u lots mpaka nikakuota the boss hajakwambia?