You will never think of life, death, yourself or the universe in the same way again

Zurri umesema pia kuhusu msemo "Asiyekujua hakuthamini". Mungu ambaye ndo muumba anatujua sote tena kwa heasabu sasa iweje asituthamini wote sawa?
Je, Sisi tunamjua? tunamfahamu? au tunamsikia tu na kumuamini? Vyovyote vile thamani yake inabaki pale pale kwa waaminio.
 
"Allah describes the one who will benefit from the Qur’an: he has khashyah of Ar-Rahmaan. By using the Name of Allah, Ar-Rahmaan, it shows the level of their khashyah. We fear Al Jabbaar (The Compellor) and Al Azeez (The All Mighty), but to fear Ar-Rahmaan, The Most Merciful, is the height of true fear of Allah." -(Quora)
 

Hivi kwa akili ya kawaida kumuogopa Mola ni sawa na kupandikizwa hofu ? Hili swali jibu unalo mwenyewe.

Nakupa maelezo ya ule msemo wa waswahili ya kuwa "Ya kuwa asie kujua hakuthamini". Wewe leo hii huwezi kujua nafasi ya Mola muumba sababu humjui,kwahiyo kwako wewe Mola muumba unamuona hana thamani sababu humjui.

Sasa narudi katika uhalisia,uhalisia ambao wewe umekupitia mbali,suala la mja kumuogopa Mola ni matokeo ya yeye kumjua na kumthamini na kumtii. Kuchunga mipaka yake,mathalani Mola wetu amekataza watu kula riba, kwani riba ni katika njia chafu na upotevu,sababu asili ya mja kumsaidia mja mwenzake ni kumfanyia wepesi katika lile tatuzo lilo msibu,sasa wewe unapotaka kumsaidia mwenzio kwa kumuwekea riba,ile maana ya msaada inaondoka na wewe unamzidishia tatizo mwenye shida. Kwa hali hiyo Mola akaweka adhabu kali kwa wale walao riba na wahusikao katika riba. Sasa yule mja alie mjua Mola wake na kumtii na kujua ubaya wa kile anachokifanya na akawekwa wazi juu ya malipo ya adhabu ya kile anachokifanya,kisha aka acha kufanya ovu lile kwa kuogopa adhabu ya Mola wake huo ndio usahihi,bali anakuwa amewasaidia wengine katika kupata shida ya kile kibaya endapo angekifanya.

Sasa wewe unapojaribu kutafsiri kuogopa kama ugonjwa mbauya,umesahau natija ambazo zinapatikana endapo binadamu wata acha kufanya maovu,na kuwekwa wazi juu ya malipo ya ubaya ndio usahihi bali ni jambo la lazima,na kumuogopa Mola kwa kumtii na kutom muidhi yeye ndio uokovu,sababu hajakataza jambo lolote isipokuwa lina faida na sisi.

Kwahiyo ni kwamba sisi tumefundishwa kumjua Mola na hatuja fundishwa kumuogopa Mola,bali kumuogopa Mola ni matokeo ya kumjua,kumtii na kuogopa adhabu zake kwani ni haki yetu kuziogopa kwani ni kali na zenye kuumiza. Bila kusahau ya kuwa kuna kinyume cha adhabu ambacho ni malipo kwa yale mema tunayo yafanya kwa kumridhisha yeye, na ametuahidi kutulipa mema na starehe ya kudumu.

Na ni kweli ya kuwa Mola wetu ni mjuzi wa kuadhibu.
 

Nimeshatolea ufafanuzi msemo huo,soma post yangu #63.
 
Nashukuru sana kwa majibu yako ya kina. Ila ni hivi, wewe ni muumini wa dini na mimi sio. Hatuwezi kukubaliana ila twaweza kukubaliana kutokubaliana kwenye tofauti zetu. Mi sina shida na muumini wa imani yoyote ile kwani ni haki ya mwanadamu kuamini nguvu au chanzo chochote kile katika kujua safari yake na kujitambua.

Mijadala mingi sana imeshajadiliwa humu JF na watu tofauti kama Nyabhingi na post ya Dr Ben Jochannan - Mtu, Mweusi, Amka.
Mshana Junior ana post za aina mabalimbali humu amabzo pia zimejadiliwa na wengi kama kina Kiranga, Life code, Proved, Isis nk. Maswali na majibu ni mengi na hapa inakuwa kama tunaanaza kubishana, kila nikikupa facts unazouliza unachomoa na maelezo marefu. Sasa tumetoka kabisa nje ya mada iliyopo hapa ambayo ni You will never think of life, death, yourself or the universe in the same way again.

Hii ni sehemu ambayo mitazamo ya watu ni tofautti na pia imani zao , mila, desturi na tamaduni ni tofauti ila heshima ipo kwa wote.

"Religion is the Opium of the people"- Karl Marx.

Asante
 
A quote from ALL SEEING EYE SYMBOL

“As a human absorbs knowledge and wisdom, some will experience their Awakening: a pivotal moment when their minds evolve to a level of understanding that is higher than the majority. They begin to see themselves as strings in a universal tapestry with a duty to uplift their fellow humans, and quickly understand the inner workings of wealth, power, and authority. Those who have experienced their Awakening often describe it as the moment their Eye was opened”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
A quote from THE PYRAMID SYMBOL

“ Before the water can reach the bottom, first it must run through all the others above it. Though the lowest support the weight of all who are above them, they are numerous and easily replaced — unique individually, but common together. A person climbs higher by becoming less like those below them.”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
A quote from THE LIGHT SYMBOL

“All human religions and spiritual beliefs ultimately seek the Light in ways differing only in form and function. Some religions refer to the Light with a name, such as God or Elohim. The core of every religion is founded on the human species’ innate desire to understand this invisible force. Even without a formal religious affiliation, every human is naturally drawn to the Light.
Though the human mind in its physical form is not capable of fully understanding the Light, conscious thought and intention reveal many of its inner workings and effects. By studying the wisdom of this planet’s greatest minds, humans can discover ways to increase the Light’s powerful influence in their lives”.





Sent from my iPhone using JamiiForums
 
THE ETERNAL CIRCLE SYMBOL

“Every human is one part of a larger, eternal design – individual gears in a clock that has no end.”

“The world began before you and will continue after you, but it will be different because of the decisions you made.

Every generation inherits the world left by the one before it, just as a king inherits the crown of his father. Your pursuit of wisdom and goodness could lay the foundation for your great-great-grandchild’s rise into power – the same descendant who might steer a country from war and save lives by the millions. Did the ancestors of Aristotle or Alexander The Great know who their actions would create?

Though you will never understand the full influence of your actions, the results of your dedication to humanity are still yours to claim.”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
THE CROSSED KEYS SYMBOL

“Our beliefs dictate that a human’s future is determined by their own choices and decisions. In this way, the Crossed Keys represent every human’s hidden power over the direction of their lives and their ability to control their own destiny.”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
THE PENDULUM SYMBOL
“Neither side is entirely right or wrong, but neither side can relent. If the pendulum ceases to sway, the clock ceases to function”.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
The OUROBOROS SYMBOL
“The ouroboros stands for the circle of life: humanity’s passage through generations that begin and end in a constantly renewing cycle. It shows the path of physical mortality — the inescapable truth that all life starts with nothing and ends in the same place that it began.”


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu wewe umenielewa vp katika hayo maelezo yangu?
 
Umesema mola humpa amtakaye,ndo nakuuliza huoni anapendelea?mbona huku hatuna gunduzi?au we mwenzetu kuna ulichogundua manake hadi hizi dini tunazombania hii ya kweli hii ya uongo tumeletewa na wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazungu hawajaanzisha dini mkuu,hata sie waafrika tunaweza kupeleka ukristo au uislamu huko china na wachina wakasema waafrika wametuletea dini.
 
Kwani wewe mkuu kiujumla unalichukuliaje suala la kuogopa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…