You will never think of life, death, yourself or the universe in the same way again

Je wewe baada ya kulitambua hili ulishachukua hatua? Na kama bado maanake nawe unaishi katika hiyo psychology!
Kama ulishakuwa na uwezo wa kuperceive hizo multidimensional realms, how do you prove it to us and why do you encourage us to have such ability too?
Nahitaji kutoa hii illusion ya reality in a very clear way.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna utofauti wa kutoa uhalisia na kuencourage watu juu ya jambo flani.... Giving informations is not encouraging people to find the reality but options zimewekwa kwa atakayeamua kuishi katika mazingira ya kuwa kwenye illusion au reality..
 
Hi, today i would like to share the refresh of our ways of looking at things. MULTIDIMENSIONAL UNIVERSE

How our nature as human beings limits and decide what we should know, and what not to over the universe.

If an ant moves along a thread and we cut the thread with scissors, as humans we know the reason for the ant’s path being obstructed. But to an ant, its path being vanished is a mystery because the ant’s capacity to understand is locked behind the fact that the ant has no developed organs to understand or perceive higher dimensions.

The multidimensional world co-exists with our visible three-dimensional world and is present with us right now and the only reason we don’t see it, is because our eye is not capable of perceiving higher dimensions. The multidimensional world is in contact with the three dimensional world at specific points. These specific points remain as mysteries to us. Places like the Bermuda Triangle, phenomena like the Taos Hum and many more unresolved mysteries are those points where multidimensional world is in contact with the three dimensional world.

Just like an ant which does not understand why its path is obstructed, we do not understand all the hidden things behind those mysteries. The higher dimensional world keeps influencing the three dimensional world and at times even influence our thoughts, meaning that the contact at times is made even through humans. The answers to all unresolved mysteries are found only in higher dimensions.

After thousands of years, if our eyes get evolved enough, we may clearly be able to see and understand that what we call today is not god or ghost but it is just a higher dimension.View attachment 1000599

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe emejuaje kama ni higher dimension na sio Mola?

Hiyo higher dimension ni hai?
 
Mimi naamini kitu kimoja ya kwamba kama binaadamu tumeproganiwa maanake maarifa yetu yangebakia kuwa haya haya ya 3Dimension. If a thing had been programmed it could have been merely reacted in way it's been set.
Sasa haya maarifa ya multidimensional world tunayapata wapi and how could they be proved?
Na kama tutaweza kupercieve those highest realms who and what is our programmer?
Huwezi kuwa na maarifa ya kitu fulani kama hakiexist au kama hakiexist hiyo knowledge itakuwa imewekwa kwasababu maalumu ya kutuhadaa kwa manufaa ya mtoa hiyo knowledge. Sasa ili iweje?
Vitabu vya dini vinakiri wazi kuwa Mungu/The Creator yupo mbinguni; mbinguni ni wapi, je ndipo kwenye hizo multidimensional realms that we can not perceive? Na kama yupo huko kwanini tunahangaika kupajua wakati tuko programmed? Au huyo tunayesema ni Mungu ni miongoni mwa Aliens au ndiye alien mkuu?
Mkuu lifecoded hapa nakuomba nawe ututoe tongotongo

Sent using Jamii Forums mobile app

Umeuliza swali zuri sana. Hapa natilia mkazo mkazo tu.

Je njaa, hewa na mfano wake ni katika hivyo 3D?
 
Kuna watu wanapenda sana mastory kama haya, kupenda sana jambo kuna wakati wengine kunazuia kuona mapungufu yake wengine tushapitia hii hali.
 
Kwanza tunapaswa kuwa wapole na kukubali kuwa tuna percive katika lowest dimension realm....

Kitu kikubwa ni kusynchronise na wale jamaaa kwa moyo wote...

They are not bad as people try to think....

There are portal entry routes za kupita ili uweze kupata access ...

Moja ya hizo Portal entry ni milima ambayo ina njia za ndani zilizowekewa vizuizi kupita( Underground bases)...

Njia nyingine ni kufundishwa namna ya kutumia signs and symbols maaulumu zilizowekwa kwa siri ya kuconect pathway ya mwandamu katika highest dimensions...

There are lots of signs and symbols that are used as portal entry katika dimension realm kubwa.....

Hizo alama ambazo unaambiwa ni alama za kishetani sijui za kifreemasona n.k sio kweli kwamba ni alama za kichawi ila ndo alama ambapo zinaguide portal entry kutoka Realm moja kwenda nyingine...

Ndo mana secret societies wanazitumia kufanya maamuzi kadri wanavyotaka...usione mtu anavaa msalaba shingoni au kipete chenye umbo la pembe tatu ukajua anafanya urembo tu ..no no no ila kaelekezwa how to use it kila anapotaka kuascend kwenye higher realm ...

Kitu cha kwanza ni mwanadamu atambue kuwa kuna portal entry and portal exit kwanza katika dimensions kubwa za realm....halafu ukisha amini hilo ndo inatakiwa kuzijua kwanza Signs maalumu ambazo zinamconnect mwanadamu ya other worlds of another dimension awareness kwa degree flani...

They always built towers and Pyramids sio kwa kujifurahisha tu...hizo pyramids ni moja ya portal entry katika dimensions kubwa ndo mana mpaka leo watu huwa wanajiuliza pyramids zilijengwa kwa kazi gani.....

Ilikuwa ni njia ya kumconnect mwanadamu na higher worlds of realm tofauti kila anapotaka kuascend mwenyewe ....na huko ndiko kuna manipulation katika conciosness tofauti tofauti na mwanadamu hupata maarifa makubwa sana kadri anavyozidi kuwa anapanda realm moja kwenda nyingine....

Milima yote mikubwa ina siri kubwa sana itazame kwenye edge zake mostly utakuta ina maumbo ya ki pyramids kwa juu....

yote ipo hivo,so zina signify kiasi cha nguvu za kumconnect mwanadamu na higher dimensions realm....

Ukiweza kuzitumia signs and symbols kwa ufasaha you will attain a highest level of conciousness and these knowledge is sometimes bases as esoteric kwani ni wachache wanapata access ya kufanya hivo with a certain purpose...
Ngoja nifikichefikiche macho ya ufahamu wangu kidogo huenda nikaelewa
 
Inakuwaje unaamini kuwa Mungu yupo mbinguni....?? Is there any proof iliyowekwa kwenye vitabu hivyo kuwa Mungu kafanana kwa umbo flani...??hilo la kusema kuna Mungu ni kuifanya mind ya mwanadamu ikili mamlaka ya juu isiyoijua ili wachache wapate access ya kusynchronize na higher dimensions...hivi jiulize ingekuwaje kama kila mtu angepewa maarifa hayo kuwa we can synchronize with the higher creators...? Unafikiri vurugu match za kuascend zingekuwaje...??.Think of this first ndo ujue umuhimu wa hizo siri kuwepo....ila ukihoji ki Layman zaidi eti kwanini sasa wameweka siri unakuwa hueleweki...

Ushahidi wa kuwa kuna higher dimension ni uwepo wa nguvu ya Technology ambapo mwanadamu hupewa maarifa flani juu ya advancement yoyote ile...huku uwezo wake wa kufikiri ukiwa limited...nikishawahi kusema those great scientists like Tesla and other people like Newton ,were given access codes to unlock and hacj the matrix system of synchronization with higher dimensions mkuu

Ila ni katika dimension kubwa sana....

Kingine ni juu ya matumizi ya alama mbali mbali ambazo mwanadamu amekuwa akizitumia kufika katika sehemu maalumu...

Swala la kusema kwamba tumetengenezwa katika lowest form hivyo hatuwezi ku attain higher level za realm sio kweli...

Kama ulifuatilia kwa makini uzi wangu wa PROOF: BINADAMU AMETENGENEZWA NA ALIENS ,niligusia vitu vingi sana hasa namna mwili unavyo operate...
everythig you do ni kwa sababu ya instructions zilizopo kwenye DNA yako...DNA yako inakila aina ya taarifa za kukufanya wewe uwe mtu wa namna gani...unaweza ukawa jitu kubwa sana au ukawa kitu kidogo sana ,hiyo yote ni uwezo wa DNA yako ambayo hata haionekani kwa macho ya kawaida...

Kama umetoka kwenye invisible thing mpaka ukawa (visible) mkubwa hivi kupitia embryology sasa unawezaje kusema wewe huwezi ku attain morphology yoyote...??

Ndio mana tunasema ,we are programmed by Individual species from other realm worlds ambao wanacontrol miili yetu kupitia hizo signal za Junk bases kwenye DNA zetu...

Switch genes zina regulate whatever you think and do...it's according to them,thus why wakatoa options ya kusynchronize nao kwa njia maalumu....
Sawa mkuu inawezekana maswari yangu yapo ki layman but I hope that I help some people here who might ask the same questions. Pia sometimes mtu anauliza maswari si kwamba ajui bali ni kwaajili ya kuifanya mada iwe pana zaidi na iguse angles mbalimbali ambazo labda wengine wasingeweza kujua lolote zaidi ya kile kilichokuwa presented.
Nadhani unaufahamu vizuri upeo wangu especially on the issues that have been raised in this jukwaa na kwapamoja tukaweka michango yetu.

Still have a lot of helping-questions but If I continue you might think am trying to challenge your knowledge on the matter. Basi acha niishie hapa and you're much appreciated mkuu.
Tchao....

Nakuelewaga sana mkuu..... You're also appreciated for what you know chief.... Much respect mkuu
 
Kwanza tunapaswa kuwa wapole na kukubali kuwa tuna percive katika lowest dimension realm....

Kitu kikubwa ni kusynchronise na wale jamaaa kwa moyo wote...

They are not bad as people try to think....

There are portal entry routes za kupita ili uweze kupata access ...

Moja ya hizo Portal entry ni milima ambayo ina njia za ndani zilizowekewa vizuizi kupita( Underground bases)...

Njia nyingine ni kufundishwa namna ya kutumia signs and symbols maaulumu zilizowekwa kwa siri ya kuconect pathway ya mwandamu katika highest dimensions...

There are lots of signs and symbols that are used as portal entry katika dimension realm kubwa.....

Hizo alama ambazo unaambiwa ni alama za kishetani sijui za kifreemasona n.k sio kweli kwamba ni alama za kichawi ila ndo alama ambapo zinaguide portal entry kutoka Realm moja kwenda nyingine...

Ndo mana secret societies wanazitumia kufanya maamuzi kadri wanavyotaka...usione mtu anavaa msalaba shingoni au kipete chenye umbo la pembe tatu ukajua anafanya urembo tu ..no no no ila kaelekezwa how to use it kila anapotaka kuascend kwenye higher realm ...

Kitu cha kwanza ni mwanadamu atambue kuwa kuna portal entry and portal exit kwanza katika dimensions kubwa za realm....halafu ukisha amini hilo ndo inatakiwa kuzijua kwanza Signs maalumu ambazo zinamconnect mwanadamu ya other worlds of another dimension awareness kwa degree flani...

They always built towers and Pyramids sio kwa kujifurahisha tu...hizo pyramids ni moja ya portal entry katika dimensions kubwa ndo mana mpaka leo watu huwa wanajiuliza pyramids zilijengwa kwa kazi gani.....

Ilikuwa ni njia ya kumconnect mwanadamu na higher worlds of realm tofauti kila anapotaka kuascend mwenyewe ....na huko ndiko kuna manipulation katika conciosness tofauti tofauti na mwanadamu hupata maarifa makubwa sana kadri anavyozidi kuwa anapanda realm moja kwenda nyingine....

Milima yote mikubwa ina siri kubwa sana itazame kwenye edge zake mostly utakuta ina maumbo ya ki pyramids kwa juu....

yote ipo hivo,so zina signify kiasi cha nguvu za kumconnect mwanadamu na higher dimensions realm....

Ukiweza kuzitumia signs and symbols kwa ufasaha you will attain a highest level of conciousness and these knowledge is sometimes bases as esoteric kwani ni wachache wanapata access ya kufanya hivo with a certain purpose...
Kwa haraka haraka napata picha kuwa wanga na wachawi wana perceive higher dimension kuliko wale wa kawaida
 
hivi jiulize ingekuwaje kama kila mtu angepewa maarifa hayo kuwa we can synchronize with the higher creators...?

Hapa ngoja nikujibu kwa mtindo huu. Nyinyi tatizo lenu huwa hamko wazi na huwa mna mung'unya maneno kwa maslahi yenu binafsi.

Suala la maarifa au upatikanaji wa maarifa kwa mwanadamu kuna nyenzo,nyenzo ambazo kwazo binadamu anapata maarifa. Na hizo nyenzo ni akili,milango ya fahamu na ufunuo.

Elimu zimegawanyika sehemu mbili,kuna elimu za kilimwengu na elimu ya kumtambua Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Mola wetu amejiwekea utaratibu wa kumpa anae mtaka,mathalani sisi watu wa dini tuna amini ya kuwa hakuna mtume alie kuja ulimwenguni kufundisha kujenga majumba,wala elimu ya kilimo au elimu ya hali ya hewa bali mitume walipewa za kujitambua wewe ni nani,upo duniani kwa lengo gani,ni yapi maisha baada ya kufa ? Je kifo ni mwisho wa misha,ni lipi baya na lipi zuri,vipi nilinde akili yangu,vipi nilinde kizazi changu na mfano wake.

Umewagusia wanasayansi na ufahamu waliopewa,kupewa ufahamu huo sio jambo la ajabu kwani Mola wetu anampa amtakae katika waja wake na anamnyima amtakae,kwa mtu mwenye upeo mdogo kama wewe japo kuwa siwezi kukulaumu lazima utawaona wanasayansi ni bora kuliko wengine kisa wamefanya ugunduzi wa mambo kadha wa kadha,na ukafikia mbali kusema kwamba wao walipewa access ya code bila kutaja walipewa na nani ? Kufanya hivyo ni kuihujumu elimu na kuuficha ukweli kwa makusudi. Unasahau ya kuwa wana sayansi hao walipewa ufahamu huo lakini hawakumjua ni nani amewapa ufahamu aidha kwa makusudi au kwa ujinga wao na hii ndio hasara kubwa walio ipata wanasayansi na wana falsafa.

Maarifa yanaendana na juhudi leo hii weww usipofanya jitihada katika jambo fulani kamwe huwezi kulijua jambo hilo,huu ndio msingi wa maarifa au kupata elimu ulivyo.

Binadamu yeyote awaye ameumbwa akiwa na fitra/human nature,hali ambayo ni ya utayari kuupokea ukweli kuhusu Mola wake alie muumba,hali hii huwepo endapo mwanadamu huyo akiwa haja haribiwa kifikra au kimtazamo na watu wa imani za kishirikina,watu wenye kuabudu masanamu,watu wenye kuabudu jua na mfano wake.

Kuhusu hiyo higher level unayo ipigia upatu na kuizungumzia kwa kufanya ghishi na udanganyifu,suala hilo walikuja nalo mitume,kutokana na ukomo wa akili ya mwanadamu aliyo pewa na huku akiwa anajiuliza maswali kwa yale mambo yaliyofichikana ndio Mol akawa anachagua mitume miongoni mwa hao binadamu na kuwapa ufunuo na kuwajibu yale maswali ambayo akilo zetu haziwezi kuyang'amua mfano wa maswali kuhusu kifo,njaa,majanga ya asili,kufufuliwa na mfano wake,na kupitia hao mitume Mola wetu akajielezea jinsi alivyo kimaumbile. Kwa mfano mimi ukiniuliza umbile la Mola wangu nitakwambia yukoje na mimi nina muelezea Mola wangu kama alivyojielezea yeye mwenyewe. Mfano Mola wangu mimi ana mikono miwili na yote iko upande wa kuume. Lakini nitaona ajabu ukiniuliza swali,tena kwa mshangao,he Mola wako ana mikono ? Nitakujibu ndio ana mkono,na mimi nitakuuliza au kukwambia " Birika lina mkono,je mkono wako ni sawa na mkono wa birika ?". Sasa basi Mola wangu ni kweli ana mikono lakini mikono yake namna ilivyo ni kwa dhati yake yeye mwenyewe Mola na sisi hatujui ikoje,lakini tunathibitisha ya kuwa ana mikono na wala haifanani na mikono yetu.

Sasa unavyojifaragua kila siku na hizo "Higher level ......" sisi tunakuona kielimu bado mpo gizani tena kwa kujitakia nyinyi wenyewe sababu maswalo yenu au mambo yenu mnayo yazungumzia leo mitume na manabii waliyazungumzia miaka na mikaka iliyopita.

Sasa kwangu mimi wana sayansi na wana falsafa huwa nawaona wajinga hasa wanapo jaribu kizungumzia maumbile sababu wao walichagua ujinga na Mola wetu akawaelekeza huko huko kwenye ujinga wao.

Napumzika kidogo ..... Ila kaa ukijua mtume wetu anasema "Nime wa acha katika hali ambayo usiku wake ni sawa na mchana wake,hato potea humo isipokuwa yule atakae taka" au kama alivyosema. Siri wanazo binadamu wenyewe kwa mambo yao ila katika elimu hakuna siri zaidi ya udanganyifu tu wanao uleta wajinga fulani,ili waweke gap la kuogopewa wakati katika mizani ya kielimu na tabia njema ni watu wadogo sana tena wenye kupuuzwa.

Nina mengi sana ya kuandika kuhusu Mola wangu mlezi,Mola ambae ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo,Mola ambae amemuumba binadamu katika umbile bora zaidi,Mola ambae ametufanya sisi binadamu kuwa watawala katika huu ulimwengu,ukiondoa Malaika hakuna kiumbe bora kuliko mwanadamu wala chenye kumzidi mwanadamu,ama kuhusu hao Aliens endeleeni kujifurahisha.
 
Kuhusu hiyo higher level unayo ipigia upatu na kuizungumzia kwa kufanya ghishi na udanganyifu,suala hilo walikuja nalo mitume, kutokana na ukomo wa akili ya mwanadamu aliyo pewa na huku akiwa anajiuliza maswali kwa yale mambo yaliyofichikana ndio Mol akawa anachagua mitume miongoni mwa hao binadamu na kuwapa ufunuo na kuwajibu yale maswali ambayo akilo zetu haziwezi kuyang'amua mfano wa maswali kuhusu kifo,njaa,majanga ya asili,kufufuliwa na mfano wake,na kupitia hao mitume Mola wetu akajielezea jinsi alivyo kimaumbile. Kwa mfano mimi ukiniuliza umbile la Mola wangu nitakwambia yukoje na mimi nina muelezea Mola wangu kama alivyojielezea yeye mwenyewe. Mfano Mola wangu mimi ana mikono miwili na yote iko upande wa kuume. Lakini nitaona ajabu ukiniuliza swali, tena kwa mshangao, he Mola wako ana mikono? Nitakujibu ndio ana mkono na mimi nitakuuliza au kukwambia"

Birika lina mkono, je mkono wako ni sawa na mkono wa birika?". Sasa basi Mola wangu ni kweli ana mikono lakini mikono yake namna ilivyo ni kwa dhati yake yeye mwenyewe Mola na sisi hatujui ikoje,lakini tunathibitisha ya kuwa ana mikono na wala haifanani na mikono yetu.

Sasa unavyojifaragua kila siku na hizo "Higher level ......" sisi tunakuona kielimu bado mpo gizani tena kwa kujitakia nyinyi wenyewe sababu maswalo yenu au mambo yenu mnayo yazungumzia leo mitume na manabii waliyazungumzia miaka na mikaka iliyopita.

Sasa kwangu mimi wana sayansi na wana falsafa huwa nawaona wajinga hasa wanapo jaribu kizungumzia maumbile sababu wao walichagua ujinga na Mola wetu akawaelekeza huko huko kwenye ujinga wao.

Napumzika kidogo ..... Ila kaa ukijua mtume wetu anasema "Nime wa acha katika hali ambayo usiku wake ni sawa na mchana wake,hato potea humo isipokuwa yule atakae taka" au kama alivyosema. Siri wanazo binadamu wenyewe kwa mambo yao ila katika elimu hakuna siri zaidi ya udanganyifu tu wanao uleta wajinga fulani,ili waweke gap la kuogopewa wakati katika mizani ya kielimu na tabia njema ni watu wadogo sana tena wenye kupuuzwa.

Nina mengi sana ya kuandika kuhusu Mola wangu mlezi,Mola ambae ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo,Mola ambae amemuumba binadamu katika umbile bora zaidi,Mola ambae ametufanya sisi binadamu kuwa watawala katika huu ulimwengu,ukiondoa Malaika hakuna kiumbe bora kuliko mwanadamu wala chenye kumzidi mwanadamu,ama kuhusu hao Aliens endeleeni kujifurahisha.
 
Inakuwaje unaamini kuwa Mungu yupo mbinguni....?? Is there any proof iliyowekwa kwenye vitabu hivyo kuwa Mungu kafanana kwa umbo flani...??hilo la kusema kuna Mungu ni kuifanya mind ya mwanadamu ikili mamlaka ya juu isiyoijua ili wachache wapate access ya kusynchronize na higher dimensions...hivi jiulize ingekuwaje kama kila mtu angepewa maarifa hayo kuwa we can synchronize with the higher creators...? Unafikiri vurugu match za kuascend zingekuwaje...??.Think of this first ndo ujue umuhimu wa hizo siri kuwepo....ila ukihoji ki Layman zaidi eti kwanini sasa wameweka siri unakuwa hueleweki...

Ushahidi wa kuwa kuna higher dimension ni uwepo wa nguvu ya Technology ambapo mwanadamu hupewa maarifa flani juu ya advancement yoyote ile...huku uwezo wake wa kufikiri ukiwa limited...nikishawahi kusema those great scientists like Tesla and other people like Newton ,were given access codes to unlock and hacj the matrix system of synchronization with higher dimensions mkuu

Ila ni katika dimension kubwa sana....

Kingine ni juu ya matumizi ya alama mbali mbali ambazo mwanadamu amekuwa akizitumia kufika katika sehemu maalumu...

Swala la kusema kwamba tumetengenezwa katika lowest form hivyo hatuwezi ku attain higher level za realm sio kweli...

Kama ulifuatilia kwa makini uzi wangu wa PROOF: BINADAMU AMETENGENEZWA NA ALIENS ,niligusia vitu vingi sana hasa namna mwili unavyo operate...
everythig you do ni kwa sababu ya instructions zilizopo kwenye DNA yako...DNA yako inakila aina ya taarifa za kukufanya wewe uwe mtu wa namna gani...unaweza ukawa jitu kubwa sana au ukawa kitu kidogo sana ,hiyo yote ni uwezo wa DNA yako ambayo hata haionekani kwa macho ya kawaida...

Kama umetoka kwenye invisible thing mpaka ukawa (visible) mkubwa hivi kupitia embryology sasa unawezaje kusema wewe huwezi ku attain morphology yoyote...??

Ndio mana tunasema ,we are programmed by Individual species from other realm worlds ambao wanacontrol miili yetu kupitia hizo signal za Junk bases kwenye DNA zetu...

Switch genes zina regulate whatever you think and do...it's according to them,thus why wakatoa options ya kusynchronize nao kwa njia maalumu....

Sent using Nokia 8 Plus

Nikipata wasaa nitakuja kukuthibitishia kwa hoja za kiakili tena kwa mtindo wa maswali ya kuwa hao Aliens ni wazo la binadamu tena wajinga fulani walizua na kulitunga kwa maslahi yao binafsi ili kuificha haki, huku wakisahau ya kuwa siku zote "Haki huwa iko juu wala hakuna aliye juu ya haki"

Nipo ....
 
We are three dimensional beings therefore we are a class zero civillization. As we continue to evolve, we may be able to see even more than five dimensions therefore being able to manipulate everything within the universe/s becoming a class five and above civilization.

Note, science fiction today is the science of tomorrow.
 
Hapa ngoja nikujibu kwa mtindo huu. Nyinyi tatizo lenu huwa hamko wazi na huwa mna mung'unya maneno kwa maslahi yenu binafsi.

Suala la maarifa au upatikanaji wa maarifa kwa mwanadamu kuna nyenzo,nyenzo ambazo kwazo binadamu anapata maarifa. Na hizo nyenzo ni akili,milango ya fahamu na ufunuo.

Elimu zimegawanyika sehemu mbili,kuna elimu za kilimwengu na elimu ya kumtambua Mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Mola wetu amejiwekea utaratibu wa kumpa anae mtaka,mathalani sisi watu wa dini tuna amini ya kuwa hakuna mtume alie kuja ulimwenguni kufundisha kujenga majumba,wala elimu ya kilimo au elimu ya hali ya hewa bali mitume walipewa za kujitambua wewe ni nani,upo duniani kwa lengo gani,ni yapi maisha baada ya kufa ? Je kifo ni mwisho wa misha,ni lipi baya na lipi zuri,vipi nilinde akili yangu,vipi nilinde kizazi changu na mfano wake.

Umewagusia wanasayansi na ufahamu waliopewa,kupewa ufahamu huo sio jambo la ajabu kwani Mola wetu anampa amtakae katika waja wake na anamnyima amtakae,kwa mtu mwenye upeo mdogo kama wewe japo kuwa siwezi kukulaumu lazima utawaona wanasayansi ni bora kuliko wengine kisa wamefanya ugunduzi wa mambo kadha wa kadha,na ukafikia mbali kusema kwamba wao walipewa access ya code bila kutaja walipewa na nani ? Kufanya hivyo ni kuihujumu elimu na kuuficha ukweli kwa makusudi. Unasahau ya kuwa wana sayansi hao walipewa ufahamu huo lakini hawakumjua ni nani amewapa ufahamu aidha kwa makusudi au kwa ujinga wao na hii ndio hasara kubwa walio ipata wanasayansi na wana falsafa.

Maarifa yanaendana na juhudi leo hii weww usipofanya jitihada katika jambo fulani kamwe huwezi kulijua jambo hilo,huu ndio msingi wa maarifa au kupata elimu ulivyo.

Binadamu yeyote awaye ameumbwa akiwa na fitra/human nature,hali ambayo ni ya utayari kuupokea ukweli kuhusu Mola wake alie muumba,hali hii huwepo endapo mwanadamu huyo akiwa haja haribiwa kifikra au kimtazamo na watu wa imani za kishirikina,watu wenye kuabudu masanamu,watu wenye kuabudu jua na mfano wake.

Kuhusu hiyo higher level unayo ipigia upatu na kuizungumzia kwa kufanya ghishi na udanganyifu,suala hilo walikuja nalo mitume,kutokana na ukomo wa akili ya mwanadamu aliyo pewa na huku akiwa anajiuliza maswali kwa yale mambo yaliyofichikana ndio Mol akawa anachagua mitume miongoni mwa hao binadamu na kuwapa ufunuo na kuwajibu yale maswali ambayo akilo zetu haziwezi kuyang'amua mfano wa maswali kuhusu kifo,njaa,majanga ya asili,kufufuliwa na mfano wake,na kupitia hao mitume Mola wetu akajielezea jinsi alivyo kimaumbile. Kwa mfano mimi ukiniuliza umbile la Mola wangu nitakwambia yukoje na mimi nina muelezea Mola wangu kama alivyojielezea yeye mwenyewe. Mfano Mola wangu mimi ana mikono miwili na yote iko upande wa kuume. Lakini nitaona ajabu ukiniuliza swali,tena kwa mshangao,he Mola wako ana mikono ? Nitakujibu ndio ana mkono,na mimi nitakuuliza au kukwambia " Birika lina mkono,je mkono wako ni sawa na mkono wa birika ?". Sasa basi Mola wangu ni kweli ana mikono lakini mikono yake namna ilivyo ni kwa dhati yake yeye mwenyewe Mola na sisi hatujui ikoje,lakini tunathibitisha ya kuwa ana mikono na wala haifanani na mikono yetu.

Sasa unavyojifaragua kila siku na hizo "Higher level ......" sisi tunakuona kielimu bado mpo gizani tena kwa kujitakia nyinyi wenyewe sababu maswalo yenu au mambo yenu mnayo yazungumzia leo mitume na manabii waliyazungumzia miaka na mikaka iliyopita.

Sasa kwangu mimi wana sayansi na wana falsafa huwa nawaona wajinga hasa wanapo jaribu kizungumzia maumbile sababu wao walichagua ujinga na Mola wetu akawaelekeza huko huko kwenye ujinga wao.

Napumzika kidogo ..... Ila kaa ukijua mtume wetu anasema "Nime wa acha katika hali ambayo usiku wake ni sawa na mchana wake,hato potea humo isipokuwa yule atakae taka" au kama alivyosema. Siri wanazo binadamu wenyewe kwa mambo yao ila katika elimu hakuna siri zaidi ya udanganyifu tu wanao uleta wajinga fulani,ili waweke gap la kuogopewa wakati katika mizani ya kielimu na tabia njema ni watu wadogo sana tena wenye kupuuzwa.

Nina mengi sana ya kuandika kuhusu Mola wangu mlezi,Mola ambae ameumba ulimwengu na vyote vilivyomo,Mola ambae amemuumba binadamu katika umbile bora zaidi,Mola ambae ametufanya sisi binadamu kuwa watawala katika huu ulimwengu,ukiondoa Malaika hakuna kiumbe bora kuliko mwanadamu wala chenye kumzidi mwanadamu,ama kuhusu hao Aliens endeleeni kujifurahisha.
Kwa mtindo huo mola mlezi ni mbaguzi mbona kila siku vitu wanagundua wazungu tu huku barani africa hatugundui?ina maana mpaka leo hii hajatuona! Kaanza na mitume wake wote weupe vitu vinavyoturahisia maisha vyote mweupe sisi tumemkosea nini mbona hatuchagui? Mbona matatizo mengi yapo huku? huku tukiwa na madeni lukuki kutoka kwa watu wake tena tunaishi kwa misaada kutoka kwao, mbona katususa hivi mola mlezi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa mtindo huo mola mlezi ni mbaguzi mbona kila siku vitu wanagundua wazungu tu huku barani africa hatugundui?ina maana mpaka leo hii hajatuona! kaanza na mitume wake wote weupe vitu vinavyoturahisia maisha vyote mweupe sisi tumemkosea nini mbona hatuchagui?mbona matatizo mengi yapo huku? huku tukiwa na madeni lukuki kutoka kwa watu wake tena tunaishi kwa misaada kutoka kwao,mbona katususa hivi mola mlezi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiona hivyo kugundua sio leo wala si kuonyesha ndio ukamilifu wa binadamu na wala sio utukufu.

Ukisoma vizuri historia utaona palikuwa hakuna sababu ya sisi kuletewa mitume sababu sisi hatukufikia uovu na machafu waliyokuwa wana yafanya watu weupe.

Pia,katika elimu kuna ile ambayo kula kiumbe anatakiwa kuijua na kuna ile elimu ambayo wakiwa nayo wachache hutosheleza wengine. Hapa nakupa mfano leo hatuambiwi kila mtu awe tabibu au kila mtu awe mhandisi,kwa maana wakiwa nayo wachache elimu ya utatibu au uhandisi hutosheleza wengine,ila elimu ya kumjua Mola wako ni ya lazima.

Kama hali iko hivyo,Mola wetu si mbaguzi wala hana sifw hiyo.
 
Swali gumu majibu mepesi!we huoni huo ni ubaguzi?vitu wagundue wao' bado shida zetu watutatulie wao mikopo inatoka kwao hadi hizi dini za kumjua yeye zimetoka kwao dah[emoji27] [emoji27] vyote hivyo anashindwa kutuachia hata kimoja?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom