Young Africans 4-0 Mbeya kwanza | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Tena tumeyafuta kikatili sana mdogo wangu yaani mpaka msimu unaisha nafasi ya kwanza munaisikia tu. πŸ˜…πŸ˜…

I hope uko mzima. Ukimuona Bill πŸ˜‰ mwambie namsalimia.πŸ˜…
Angalau leo safi, kuna nguchiro kama OKW BOBAN SUNZU na GENTAMYCINE nadhani wanagugumia! Halafu sijui kuna nini, mtu akiwa mshabiki wa Simba na mpenzi wa Chadema anakuwa wa ovyo au siyo Mshana Jr
 
🀣🀣🀣🀣Usijali tutaipoza mbususu na sweet wine huku mie napiticha ulimi kwenye kisimi mrembo.

Alafu game itarudiwa tena tukichukua ndoo ya fa..😜
Aaaah that's too much, punguza maneno makali kidogoo
 
Kweli mmepata kocha, kwangu mimi ni kocha bora kuwahi kutokea katika club ya young africans. Pongezi kwake Nabi. Hongereni wanayangaπŸ‘πŸ½
Kwa niaba ya wengine nasema asante sana.
Na mbususu tutazichakata sana kesho hakuna kazi mzabzab atatupa mwongozo.
 
Kuna kolo hapa kanipiga ngumi bila sababu ya msingi sijui nimekosea nini kusema eti"leo ni sherehe, honeymoon ni tarehe 28"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…