Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda ni mashabiki wa Makolo FC.ukishaona hadi mods hawaweki icon ya live ujue hiyo mechi imedharaulika sana
Hii nzuri sana Swahiba.Bado pointi 6 swahiba
Na kesho Makolo wanapigwa na Geita gold. Zinabaki tatuHii nzuri sana Swahiba.
Tunacheza na Biashara mkuu na tunampasuaSasa tunawasubiri Geita Gold kesho kuwa wampasue KoloWizard.. then sie jumatatu tu tunampiga polisi na kutangaza Mabingwa mara 29
J3 tunamaliza kazi kwa Biashara ili Jmosi tunaingia Kirumba tukiwa mabingwa tayari, itakuwa powa snNa kesho Makolo wanapigwa na Geita gold. Zinabaki tatu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Nakazia Mkuu.Na kesho Makolo wanapigwa na Geita gold. Zinabaki tatu
Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Naomba niwataje Mkuu. 🤣🤣🤣🏃♀️Wale wanga wanazidi kupungua nguvu na kelele zinapungua
Wanajijua [emoji3][emoji3]Naomba niwataje Mkuu. [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2088]
Ndio ndio. 😀😀Wanajijua [emoji3][emoji3]
Tunabeba ndoo 😀Hii nzuri sana Swahiba.
Naona unapiga sarakasi huku unakata gogo.Kwa game inavyoenda Uto watapewa penati...ni suala la muda tu
Ni swala la muda tu Swahiba.Tunabeba ndoo 😀
makolo leo wanatakiwa wamshangilie mpole akiwafunga 😀Ni swala la muda tu Swahiba.
Na si ajabu leo mpaka 18:00Hrs tukawa tumeinua mkono mmoja juu. 😀😀😀