Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Hahahaaa. Lol
EPL sijawahi ona mwamuzi mwenye umri mdg anaamua match...nadhan kuepuka mgogoro wanawapa mature time then ndo wanawapandisha viwango na kuwapa ridhaa ya kuamua match kubwa....kwa TZ waamuzi wengi ni vjana na wana muhaho balaa by then wametuonea sn lkn amini amini nawaambieni mwaka huu TUMEKUBALIWA NA MUNGU
 
Umeonaeee!! England sio kama huku Mkuu.

Hizi elimu za siku hizi Mkuu mtu anafwamba fwamba hatimaye anapata cheti chenye daraja la kumruhusu kuchezesha Premier league unadhani watamwacha amature sio rahisi lazima wampe nafasi wakitegemea ndo waamuzi ambao wakipata uzoefu zaidi wanaeza ing'arisha Tanzania kimataifa kumbe hamna lolote cha zaidi ndio kama wanawapa nafasi waonyeshe mahaba ya dhati kwa timu wazipendazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…