Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. LolKichwa kikubwa kama tofali la nchi 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. LolKichwa kikubwa kama tofali la nchi 6
EPL sijawahi ona mwamuzi mwenye umri mdg anaamua match...nadhan kuepuka mgogoro wanawapa mature time then ndo wanawapandisha viwango na kuwapa ridhaa ya kuamua match kubwa....kwa TZ waamuzi wengi ni vjana na wana muhaho balaa by then wametuonea sn lkn amini amini nawaambieni mwaka huu TUMEKUBALIWA NA MUNGUHahahaaa. Lol
Umeonaeee!! England sio kama huku Mkuu.EPL sijawahi ona mwamuzi mwenye umri mdg anaamua match...nadhan kuepuka mgogoro wanawapa mature time then ndo wanawapandisha viwango na kuwapa ridhaa ya kuamua match kubwa....kwa TZ waamuzi wengi ni vjana na wana muhaho balaa by then wametuonea sn lkn amini amini nawaambieni mwaka huu TUMEKUBALIWA NA MUNGU
Hakika Mkuu huu mwaka ni wetu.lkn amini amini nawaambieni mwaka huu TUMEKUBALIWA NA MUNGU
Leo itakua siku mbaya sana kwenu,natanguliza pole kabisa[emoji16]Hakika Mkuu huu mwaka ni wetu.
Wacha kutuchawia. 🙁Leo itakua siku mbaya sana kwenu,natanguliza pole kabisa[emoji16]
Ushaijenga nchi lakini au ndo umeamua kuja kujipumzisha kidogo kwenye uzi wa Timu ya Wananchi?Leo itakua siku mbaya sana kwenu,natanguliza pole kabisa[emoji16]
Kila nikichungulia kwenye kibuyu naona hali itakua tete,kama una hasira usiende Lupaso maan kutatokea vurugu baada ya mechiWacha kutuchawia. [emoji853]
Majukumu ndo tumeyaanza majuziUshaijenga nchi lakini au ndo umeamua kuja kujipumzisha kidogo kwenye uzi wa Timu ya Wananchi?
Hahahaaa. Pole sana wewe pamoja na hicho kibuyu chako.Kila nikichungulia kwenye kibuyu naona hali itakua tete,kama una hasira usiende Lupaso maan kutatokea vurugu baada ya mechi
Muendelee nayo hadi kwa FC Berkene basi.Majukumu ndo tumeyaanza majuzi
Wakati unaangalia mpira jitaid uwe na chupa maji,utakuja kunishukuru baada ya mechi[emoji16]Hahahaaa. Pole sana wewe pamoja na hicho kibuyu chako.
Hamna mi Uwanjani siendi siku hizi.
Baba wa familia huwa hachagui pa kutafutia ridhiki ili wanae washibeMuendelee nayo hadi kwa FC Berkene basi.
Hebu huko na wewe.Wakati unaangalia mpira jitaid uwe na chupa maji,utakuja kunishukuru baada ya mechi[emoji16]
He he he he ndo mana hata ule mwaka mnapigwa Tano tano hamkuchagua. 🤣🤣Baba wa familia huwa hachagui pa kutafutia ridhiki ili wanae washibe
Ha ha haaaaHebu huko na wewe.
Hii game tunashinda 2 - 0 kama hutaki subiri uone.
Waliotupiga tano tano walifika wap?He he he he ndo mana hata ule mwaka mnapigwa Tano tano hamkuchagua. [emoji1787][emoji1787]
Hivi Djuma Shabani adhabu yake ni ipi hiyo Mkuu?Wachezaji Tutakaowakosa Leo Dhidi Ya Biashara.View attachment 2120261
Ila ni wengi. 🤔🤔 Hivyo nafasi ya Job na ya Yasin (Kibwana Shomari mgonjwa au ashapona) atacheza nani?Wachezaji Tutakaowakosa Leo Dhidi Ya Biashara.View attachment 2120261