Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama huwa simwelewi hivi huyu Aucho? Naona kaamua arejee au naye ndo alikuwa Sick?
View attachment 2196014
Mi nakwambiaga hawa ndo wachezaji virusi...
Ningekuwa kocha Nabi Huyu jamaa angeishia benchi hadi asahaulike ile namba apewe tu mtanzania fundi sureboy...
Yes kwanza anaipenda yanga na anaipambania sana kwa moyo mmoja
 
Aucho alikuwa majeruhi, tuache kusambaza chuku kwa wachezaji
Sina chuki na mchezaji wa timu yangu lakini matukio ya huyu bwana mkubwa ndo hua yanatatiza. Kama una kumbukumbu nzuri hata sakata la Morrison lilianzaga hivihivi so bora umuwahi msaliti kuliko kuwahiwa nae. Ukiangalia hata timu zinazofanya vizuri ulaya let's take mfano kwa man city.. Huwezi kuta Pep anamnyenyekea mchezaji, yaani player akijiona ni mkubwa au ni spesho zaidi kuliko klabu ni bora utemane nae.. Pep hua alei mtu hata kama una kipaji cha aina gani toka akiwa Barca uliza kuhusu Eto'o, ronadhinho henry au Sane..
Katika timu kocha ndo anatakiwa kua top na awe na msimamo sio mchezaji
 
Aucho alikua injury kwa Yanga ya sasa hivi hawezi leta ufaza coz bila yeye team imeshinda mechi kibao tu tena ngumu na hakuna alie notice pengo lake na akizingua Mukoko yupo pale Mazembe ni simu moja tu anarudi
 
Aucho alikua injury kwa Yanga ya sasa hivi hawezi leta ufaza coz bila yeye team imeshinda mechi kibao tu tena ngumu na hakuna alie notice pengo lake na akizingua Mukoko yupo pale Mazembe ni simu moja tu anarudi
Naam haina haja ya kunyenyekeana ni muda wa kazi masikhara pembeni..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…