Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa Mkuu.Wametetema
Hatuzuiliki [emoji23]Hamna cha kuzuia. [emoji3]
Hawa TFF ikibidi watukabidhi kombe letu tu aisee.Hatuzuiliki [emoji23]
Watukabidhi Tu Kwakweli, Tena Iwe Tarehe 30 Baada Ya Tutakachokifanya Ndani Ya Dk 90 Sherehe Yetu Ya Ubingwa Itafana Sana [emoji1787]Hawa TFF ikibidi watukabidhi kombe letu tu aisee.
Nisijibu kwanini?nilikuwa bize na maandalizi ya mechi kubwa zinazohuau timu kubwakubwa...Aezi kujibu tena. [emoji3]
0.5 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Point 3[emoji736]
Mayele kafunga [emoji736]
Tumetetema [emoji736]
Makolo wamenuna [emoji736][emoji1787]
Sisi ndo Yaaaanga [emoji16][emoji16]
[emoji172][emoji172][emoji169][emoji169][emoji617][emoji617]
Kupata kichekesho hiki tuma neno Dully Jr kwenda namba 15556. 🤣🤣🤣Nisijibu kwanini?nilikuwa bize na maandalizi ya mechi kubwa zinazohuau timu kubwakubwa...
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Kolo katika mateso [emoji16] baada ya miaka miwili tutakua na 32.5 ambazo huwezi zipata kamwe
Yanga Tamu [emoji169][emoji172]