Hii game tunashinda nyingi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tuteteme tu jamani. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu huyu Mayele ajengewe tu sanamu aisee.Mayeleeee
Itakuwa poa sana Mkuu mana Julio kachonga sana kwenye mahojiano kabla ya mechi.Hii game tunashinda nyingi tu
Hapa kuwapagawisha tupate la pili.Namungo wamepania Sana. Kama ilivyo kawaida yao
Exactly, Na Tunazichukua Kudadek..! [emoji2]Ewaaa!! Hamna cha kutuzuwia.
Tumedhamiria points sita kabla ya kuisha huu mwezi.
Hamna cha kuzuia. 😀Exactly, Na Tunazichukua Kudadek..! [emoji2]