[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka lkn naogopa
Mbna morisson ndo anakuja kwenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Bishoo Ambundo Na Mwenzie Ntibanzokiza Wasituletee Mambo Ya Morisson Kwakweli, Hii Timu Ni Ya Wananchi.
Aah Huo Ni Uzushi Tu, Huyo Ni Mchezaji Wenu, Sisi Wala Hatuna Haja Na Wachezaji Wenu Siku Hizi.Mbna morisson ndo anakuja kwenu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
EeeeeeeeeeeWaaaananchiiiiiiiiiiiiiiiiii[emoji344][emoji344][emoji344][emoji344]
Jamani leo tunasherehekea wapi ushindi huu
😀 Kwa sasa wametulia kama wapo kwenye mtungi.Shadeeya Tumepiga Kwenye Matumaini Yao [emoji1787]View attachment 2242679
Na Nasikia Huko Bw.Pabulo Karushiwa Mabegi Nje Usiku Wa Manane, Nchi Ngumu Hii [emoji1787][emoji1787][emoji3] Kwa sasa wametulia kama wapo kwenye mtungi.