Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

20220523_165105.jpg
 
Prefessor Nabi Asiwaweke Benchi Farid Na SureBoy Iyo Jumamosi Wapo Kwenye Viwango Bora Kwasasa Binafsi Nilihuzunika Kutoanzishwa Kwao Siku ile Ya Mechi Na Simba, Asimtumie Kabisa Yule Denis Nkane Hana Msaada Sio Kukaba Sio Kushambulia Wala Kupiga Pasi Za Maana Pasi Zake Nyingi Afya Hazina Hasa Wakati Wa Kushambulia Anaweza Kupiga Akachimba Chini Wakati Wa Kutoa Pasi, Eneo Pekee Utamuona Vyema Nkane Uwanjani Ni Wakati Wa Kutetema Tu.
 
Back
Top Bottom