Manake ncheke mie. πππMechi yenu ya leo sangap
Ile kauli ya Yanga anakata moto second round haipo tena. π π"Utaona Msimu Ujao, Utaona Msimu Ujao"
Hiyo Ndio Kauli Waliyobaki Nayo Saiv
Wakiwa Wengi Ni Wekundu Wa Msimbazi, Akiwa Mmoja Je? [emoji1787]View attachment 2271907
Anashangaa gari ya mabingwa. π π
Wamelionea sana hilo neno "This is next level" π πTofauti ni kama mbingu na ardhi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274307View attachment 2274308View attachment 2274309View attachment 2274310
π¦π¦Manake ncheke mie. πππ
Hahahaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 2276070
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kumbe kesho mtani sio Leo utopolo banaMechi yetu ya kufunga Msimu kesho.
View attachment 2276097
Kauli Zote Chalii, Na Kuna ile Baada Ya Gape Kubaki Point 8 "Tunamkimbiza Mwizi Kimya Kimya" [emoji28]Ile kauli ya Yanga anakata moto second round haipo tena. [emoji28][emoji28]
Acha kabisa Mkuu.Kauli Zote Chalii, Na Kuna ile Baada Ya Gape Kubaki Point 8 "Tunamkimbiza Mwizi Kimya Kimya" [emoji28]
Mtani kumbe unatufuatilia kwa ukaribu ee? π
Umekisahau kilecha Pape ndow?
peleka maoni yako kwa mzee warioba yawekwe kwenye katiba mpyaAmeandika Yericko Nyerere.
"Ukiambiwa kuwa hili ni kombe la Ligi Kuu Tanzania unaweza kuonekana kama chizi hivi hasa ukikaa na watu wa mpira duniani huko... Hili kombe atakuelewa Haji S. Manara tu ukimwambia hili ni kombe la ligi kuu.
Hii aibu laana zote zimwendee Karia na @tanfootball yote. Hili ni yale masufuria ya Kariakoo Gerezani yamegongwagongwa na kupigwa libeti kisha yakapelekwa kwa Kimario Tabata Dampo yakapuliziwa rangi tu? Naamini gharama za kutengeneza hili karai la gerezani haidizi elfu sabini (70,000/=).
Hivi tuko serious kweli Ligi ya thamani ya Milioni mia tano kombe lake ndio hili? Ligi ambayo inashirikisha Klabu ya Simba yenye bajeti yake kwa mwaka zaidi ya bilioni 5, Hivi kombe la ligi ndio hili? Nafikiriki masihara katika soka letu yamevuka mipaka, sheria za nchi zinatakiwa kuchukua mkondo wake. Ndugu zetu Nbc Bank HQ mnaodhamini Ligi hii, hilo ndio kombe mmeleta?
Ndugu zetu Uto kwakuwa walikuwa desperate na ubingwa basi hawajui la mwadhini wala mnadi sala, lakini wangekuwa na uelewa hata nusu tu, wangesusia kabisa, hii ni aibu kwa ligi yenye klabu bora kama ya Simba SC Tanzania ambayo iko kwenye 10 bora Afrika halafu ligi yake kombe ni hili sufuria."
Toa maoni yako
#tujuzeView attachment 2276039