The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,668
- 99,003
Kumbe ni maumivu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameandika Yericko Nyerere.
"Ukiambiwa kuwa hili ni kombe la Ligi Kuu Tanzania unaweza kuonekana kama chizi hivi hasa ukikaa na watu wa mpira duniani huko... Hili kombe atakuelewa Haji S. Manara tu ukimwambia hili ni kombe la ligi kuu.
Hii aibu laana zote zimwendee Karia na @tanfootball yote. Hili ni yale masufuria ya Kariakoo Gerezani yamegongwagongwa na kupigwa libeti kisha yakapelekwa kwa Kimario Tabata Dampo yakapuliziwa rangi tu? Naamini gharama za kutengeneza hili karai la gerezani haidizi elfu sabini (70,000/=).
Hivi tuko serious kweli Ligi ya thamani ya Milioni mia tano kombe lake ndio hili? Ligi ambayo inashirikisha Klabu ya Simba yenye bajeti yake kwa mwaka zaidi ya bilioni 5, Hivi kombe la ligi ndio hili? Nafikiriki masihara katika soka letu yamevuka mipaka, sheria za nchi zinatakiwa kuchukua mkondo wake. Ndugu zetu Nbc Bank HQ mnaodhamini Ligi hii, hilo ndio kombe mmeleta?
Ndugu zetu Uto kwakuwa walikuwa desperate na ubingwa basi hawajui la mwadhini wala mnadi sala, lakini wangekuwa na uelewa hata nusu tu, wangesusia kabisa, hii ni aibu kwa ligi yenye klabu bora kama ya Simba SC Tanzania ambayo iko kwenye 10 bora Afrika halafu ligi yake kombe ni hili sufuria."
Toa maoni yako
#tujuzeView attachment 2276039
Ahsante. πHongereni wananchi wote kwa kumaliza ligi unbeaten na hakuna majeruhi makubwa kuelekea fainali ya FA.
Hongereni sanaa
Sasa kiubingwa hiki cha mchongo tu hamlali hivi mkifika robo CL si mtakesha mabarabarani nyieIla maisha haya sisi tukiendelea na furaha za Ubingwa wa kihistoria saa hii wengine wanashangilia kiatu cha dhahabu cha Mpole. [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2277080
Wenzenu washafanya haya mavitu mpaka wamechokaAhsante. [emoji120]
Hapa tunajiandaa kunyanyua kwapa kwa mara ingine Jumamosi pale Arusha.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
Kama rahisi na we si ungechonga sasa. πSasa kiubingwa hiki cha mchongo tu hamlali hivi mkifika robo CL si mtakesha mabarabarani nyie
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Nani kachoka?
Hahahaaa. Lol.Hongereni sana kwa ubingwa UTOPOLO PRO MAX wazee wa bahasha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo kombe bayaaaaaaaaaaa ila tuwalaumu tiefuefu.....
Hongereni machampion
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Ila kiukweli nilikumiss wewe pamoja na vichekesho vyako Mtani. π
Mimi nipo mtani.....twende tukapambane ktk nchi za watu ila ujikaze sasa safari hii,nmechoka kukubeba.....Ila kiukweli nilikumiss wewe pamoja na vichekesho vyako Mtani. [emoji3]
Huyu hapa msaidie kumpokea limemshinda nguvu hilo dudenga,nasikia uzito wake umepishana kidogo na loco ya treni[emoji23]Nani kachoka?
Nzuri hiyo Mtani. π€Mimi nipo mtani.....twende tukapambane ktk nchi za watu ila ujikaze sasa safari hii,nmechoka kukubeba.....View attachment 2277110
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Amina na ikawe hivyo. In sha allahAhsante. [emoji120]
Hapa tunajiandaa kunyanyua kwapa kwa mara ingine Jumamosi pale Arusha.
#DaimaMbeleNyumaMwiko.
π π Jana walishangilia mbaya.[emoji23][emoji23]View attachment 2277281
Hilo Ndo Chaka Lao Lililobaki La Kujipozea Machungu [emoji23][emoji23][emoji28][emoji28] Jana walishangilia mbaya.
Baada ya Nkane kufunga goli eti wanasema afadhali sio Mayele. Nikabakia kusema lol.