Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sema Manara anaidharirisha timu yetu GSM na viongozi wetu wasimchekee maana hata hii tabia mbaya na kashfa anazozifanya sasa ziliendekezwa na makolo ikiwezekana aondoke kwenye timu yetu
 
Stay Tuned. [emoji4]
IMG_20220703_170839.jpg
 
Hivi jamani Klabu yetu ina mpango kweli wa kuongeza beki [emoji848] kipindi cha Usajili sababu Job na Kibwana Shomari mnawaonaje wale Kimataifa?

Hapa nazungumzia maumbo yao hasa tukikutana na timu zinazotumia mipira ya juu wataweza kweli?

Kwa sasa iko jitihada ya kutafuta kiongo mkabaji ambaye atasaidia eneo la LITOMBO.

Then Litombo atashuka chini kwakina Bakari na Dickson katika mitanange ya kimataifa.
 
Back
Top Bottom