Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo kashapona?

Washabiki wa utopolo,viongozi wa utopolo kuna vitu havijakaa sawa kichwani......

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa anaomba msaada
IMG_20220704_132856.jpg
 
Kiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.
Kuhusu Suala Lake La Nidhamu Linajulikana Na Bodi Nzima Na Sina Shaka Kama Hawajaongea Nae Kuhusu Hilo Kabla Ya Kumpa Mkataba Kwa Mara Nyingine, Huyu Jamaa Boli Anajua Na Atacheza Mpira Wa Maana Ndani Ya Yanga...We Utaona
 
Nitajie mchezaji mmoja tu duniani ambae pafomansi yake ilikuwa au ipo sawa kila mechi??
Sijasema kila mechi nimesema hana perfomance ya muendelezo halafu duniani tunaenda mbali sana, hapa hapa Yanga angalia perfomance ya Saido fananisha na huyo jamaa. Impact yake sio kubwa ukilinganisha na hawa mawinga tulionao mfano hata Yacouba asiye na majeraha huyo Morrison haingii kabisa.
 
Kuhusu Suala Lake La Nidhamu Linajulikana Na Bodi Nzima Na Sina Shaka Kama Hawajaongea Nae Kuhusu Hilo Kabla Ya Kumpa Mkataba Kwa Mara Nyingine, Huyu Jamaa Boli Anajua Na Atacheza Mpira Wa Maana Ndani Ya Yanga...We Utaona
Mimi sijui watakua wamekubaliana jambo gani kuhusiana na swala na nidhamu yake ila tunataka atupe zaidi ya alichokua anatupa Saido na Yacouba. Nina imani kwa ile mipasi mirefu ya babu kaju Sure boy inaweza kumnufaisha ila anatatizo la kushindwa kuwa mmaliziaji mzuri hasa anapokua 1v1.
 
Subiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.
 
Subiri Utaona Kaka ila Amini Nayokwambia Huyu Anakuja Kuupiga Mwingi Sana Kuzidi Hao Ulowataja.
Huyu mpumbavu mm nmemkataa kabisa sema Tz bado siasa nyingi na ulimbukeni, hakukuwa na sababu yoyote ya Yanga kusaini takataka kama Morison, mm najua hapa kocha kalazimishwa na kina Manara kuuchukua huo mzoga. Mchezaji hata awe mzuri kiasi gani lkn nidhamu kwanza.
 
Back
Top Bottom