The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 41,015
- 93,277
Alafu mpira wake ni wa kizamani sana wa kucheza na mashabiki wkt watu wanahitaji matokeo.Kiukweli huu usajili wa huyu jamaa mi sijaufurahia. Tabia huwa haibadiliki ni bora tungeendelea kumbakiza Saido kuliko huyu kachero. Perfomance yake ni ya mechi moja moja tu hawezi kuwa na mfululizo wa perfomance nzuri.