Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aende wapiSema Manara anaidharirisha timu yetu GSM na viongozi wetu wasimchekee maana hata hii tabia mbaya na kashfa anazozifanya sasa ziliendekezwa na makolo ikiwezekana aondoke kwenye timu yetu
Hivi jamani Klabu yetu ina mpango kweli wa kuongeza beki [emoji848] kipindi cha Usajili sababu Job na Kibwana Shomari mnawaonaje wale Kimataifa?
Hapa nazungumzia maumbo yao hasa tukikutana na timu zinazotumia mipira ya juu wataweza kweli?
Baada ya kushangilia ubingwa
Wee ndo hujui na utulie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]PR zinapaswa kuwa timu kuanzia 44 mzee kama hujua tulia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama Vipi CAF Watupangie Wale Wale Rivers United, Tunawataka Tena.
CAF Wafanye Kweli Aisee, Yaani Tunawataka Tena, Hawatatoka Kwa Huu Mziki Amini Kwamba Dogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni official au?HE'S BACK [emoji91]View attachment 2280363
Yeah Man.Hii ni official au?
Pamoja Na Yote Ayo Lakini Jamaa Boli Anajua..Atasaidia Sana ile Wing Ya Kushoto We Utaona.Yanga naipenda ila huu ni uamuzi wa kijinga kuwahi kufanywa,GSM wanaisaidia team ila inatakiwa wawe na heshima Kwa mashabiki na Brand ya Yanga
View attachment 2280495