Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Naona rafiki yako katoa kauli huku.
View attachment 2287001
Mkuu Huyo Anajua Kama Karibia Mashabiki Wote Hawana Imani Na Yeye Kwasasa...Kwaio Anataka Kurudisha ile Imani Na Mapenzi Kwa Mashabiki Wa Yanga...Ni Kiwango Chake Pekee Ndo Kitarudisha Hivyo Vyote Kwenye Mioyo Ya Mashabiki Wengi Wa Yanga...Kwaio Lazima Atacheza Jihadi Atacheza Mpira Mkubwa Sana Mi Nakwambia....Na Kama Unavyojua Wachezaji Wengi Waliotoka Simba Kuja Yanga Wamecheza Mpira Lakini Sio Kama Ikiwa Kinyume Chake [emoji16]
 
Kambole je?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule wa nyukasto....hizi timu hizi stress ujitakie tu,mtu 3yrs anafanya kazi godown leo kaibukia TAPUKULU FC

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Af Em Tuambizane Ukweli Yule Mchezaji Mliyemtambulisha Jana Na Sufuria La Pilau..Hivi Yule Ni Mnaijeria Kweli?? Au Mtoto Wa Mzee Mbonde? Eeeeh [emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…