Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kambole je?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yule wa nyukasto....hizi timu hizi stress ujitakie tu,mtu 3yrs anafanya kazi godown leo kaibukia TAPUKULU FC

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Hivi unajua George Mpole kabla hajaibukia Geita Gold alikua anajishughulisha na nini?

Fuatilia kwa undani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila watu hawalali bana. [emoji23] Mpaka makolo hawakulala. [emoji23]
Makolo Wanajitesa Bure Na Usingizi Wanaacha Kulala Wanasubiri Habari Za Wakubwa Maana Wao Mida Yao Ni Mchana Mida Ya Watoto [emoji23][emoji23]... ilibidi Usiku Wawe Wameshalala Maana Iyo Ni Mida Yetu Wakubwa Kutambulisha Wachezaji Wakubwa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ Hawana hamu na saa saba yao. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…