Mzee Wa Kazi Chafu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2022
- 2,245
- 4,966
Saiv Sijui Watakuja Na Habari Gani Maana Ya Kununua Mechi Tushaisikia. [emoji23]Waanzege kutafuta visingizio tu sasa. [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saiv Sijui Watakuja Na Habari Gani Maana Ya Kununua Mechi Tushaisikia. [emoji23]Waanzege kutafuta visingizio tu sasa. [emoji23]
Au Yule Aliyeletwa Na Maporomoko Ya Mto Kagera Mpaka Dar [emoji1787][emoji28][emoji28] Wakamuongelee hata Habib Kiyombo. [emoji23][emoji23]
Kwakweli [emoji23]Hahahaaa. Hatuombei wafe wabakie tu ili wapate machungu. [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaa. Uko vizuri.
Masikini wameishiwa [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bandua Sportpesa Bandika M-Bet [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2291134View attachment 2291135
Walikuwa na jina lao mashuhuri eti bahasha ya kakhi. 😂😂😂Saiv Sijui Watakuja Na Habari Gani Maana Ya Kununua Mechi Tushaisikia. [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watachoka wenyewe....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mgonjwa pia, mnalooo hili.Subiri kwanza. Pale atakapoanza kuwakatisha viuno warembo wenu uwanjani msimu ujao, ndipo utaleta hizo picha zake nyingine.
Waelezeeee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mtani afu huyu mstaafu ni mgonjwa wa ini, habari unayoooo??Lol.
Sema Da Joy, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Joyce lomalisa [emoji617]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mtateseka sana,Kwa mipango hii msimu huu makolo lazima watubu hakuna namna.
Acheni ulimbukeni basi,huyu ni mchezaji wa kawaida tuMwaikumbuka Hiyo Kutoka Kwa Mwandishi Wa Habari Chupli Chupli...View attachment 2290926
Mediocre playerWamekwishaaa.View attachment 2290969
Yanga ni brand kubwa hata Kingwendu akisajiliwa lazima awe katika headlines za mitandaoni mpaka vijiweni mfano rahisi;Acheni ulimbukeni basi,huyu ni mchezaji wa kawaida tu
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app