Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Subiri kwanza. Pale atakapoanza kuwakatisha viuno warembo wenu uwanjani msimu ujao, ndipo utaleta hizo picha zake nyingine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mgonjwa pia, mnalooo hili.
 
Acheni ulimbukeni basi,huyu ni mchezaji wa kawaida tu

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Yanga ni brand kubwa hata Kingwendu akisajiliwa lazima awe katika headlines za mitandaoni mpaka vijiweni mfano rahisi;

*Makambo aliwahi kuishika nchi
*Mayele hapo siongei
*Morrison mpaka watoto walimjua alipokuwa Yanga
*Mzee mpili alitaka kila idara na hakuwa mchezaji.
*Hata wauza magazeti wanasema habari za Yanga ni dili kubwa.
*Kindoki japo alikuwa kiwango cha chini alitawala kwenye media
*Carlinhos hadi mwenyewe alishangaa jinsi alivyomaarufu hapa bongo


Ila kwa Simba hata kitu kikiwa kikubwa ni ngumu sana kutrend nchi nzima na kuwa habari ya mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…