Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😂😂😂 zina jipya gani kwani?Msijifanye hamfatiri tuzo huko Morocco
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂 zina jipya gani kwani?Msijifanye hamfatiri tuzo huko Morocco
Kumbe Pablo mlimuonea bure kawapa kombe la SakhoUtopolo jitikiseni mjue kama mpo hai au mmekufwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Uzi wa simba unadoda kwa sababu ya mashabiki simba kama wewe kuja kushinda kwenye uzi wa yanga. Uzi wenu unasuasua kama uzi wa taifa stars. Rudi kwenu
Shida ni moja kwa wote Mana na Karia. Kwa kuanza na Karia na Kamati ya Maadili + TFF ni kwamba, kama katika Video ilionekana wanazozana, Je, ni nani aliyeanza kumzoza mwenzake? Kama wanaonekana kutupiana maneno kwa nini kanunu ya Natural Justice isingetumika ili kuwasikiliza wote ili hata kama mlengwa ni Manara mjioneshe kuwatendea haki wote kuwa mliwaita na kuwahoji.Ameandika wilson Oruma.
"Yani Kanuni zikikupiga wewe tu ndo zinakuwa
hazijasajiliwa? Na kama Kanuni hazijasajiliwa simple logic ni kwamba Yanga msimu huu sio Bingwa.Hebu jaribu kusema hivi nione kama kweli ww ni kudume.
Eti ndugu yangu Lengai ole nasha Leo unajiona wewe ni Yanga zaidi kuliko Waziri Mchengerwa?Yani wewe ni Yanga zaidi kuliko mtu ambae hajawahi kusema yeye ni Simba hata kwa utani?Hii nchi Uhuru
umepitiliza.
Halafu Moja ya vitu navichukia zaidi kutoka kwako ni kugeuza matatizo yako dhidi ya TFF au mtu yeyote kuwa ni matatizo dhidi Yanga.
Hata wakati ule ni msemaji wa team yako ya Simba hii ndo ilikuwa tabia yako.Niligombana na wewe kwenye group ukageuza ukawa ni ugomvi wa group
dhidi Yangu.
Na kwasababu team zetu hizi Mashabiki wake wengi ni wale oya oya agenda yako hii huwa inafanikiwa.Nakukumbusha brother wewe umegombana na TFF iweke Yanga pembeni kwenye hili.
Ndugu zangu Yanga jitengeni na hii dhambi.Huyu ni mtu ambaye anataka kuwatumia nyie kwa manufaaa
yake binafsi.
Yeye peke yake ndo alitaka kumpiga Rais
wa TFF Wallace Karia.Na yeye ndo aliomba radhi kukiri makosa yake.Jitengeni nae.
Eti TFF kukufungia wewe ni kutaka kufifisha tamasha la Siku ya Wananchi.Who are you? Wewe ni nani kutaka kujipa vyeo ambavyo huna? Yanga ni li kitu kubwa na ndo maana waliweka rekodi ya Mapato na attendance wakati wewe upo Simba Sports.
Na ndugu zangu TFF huyu mtu ana kiburi Cha
Followers ongeza tena miaka 3 iwe 5 kabisa.Kuna Serious allegations nyingi amezitoa Leo ikiwa na kusema Katibu Kidao amepeleka ushahidi wa Uongo
Kamati ya Maadili.
TFF Please Ongeza 3 huyu iwe 5 kabisa..[emoji119]"
Manara Hujifanya Mtoto wa Kariakoo kakutana na Mtoto TangaShida ni moja kwa wote Mana na Karia. Kwa kuanza na Karia na Kamati ya Maadili + TFF ni kwamba, kama katika Video ilionekana wanazozana, Je, ni nani aliyeanza kumzoza mwenzake? Kama wanaonekana kutupiana maneno kwa nini kanunu ya Natural Justice isingetumika ili kuwasikiliza wote ili hata kama mlengwa ni Manara mjioneshe kuwatendea haki wote kuwa mliwaita na kuwahoji.
Kwa nini Kamati ya Maadili haijampa hati ya adhabu kama ilivyotaratibu kuonesha kuwa ameshapewa adhabu, kukaa nayo na mnasema mmemfungia si sawa maana mnasema jwa midomo ilihali sheria ipo wazi kuwa udhibitisho wa maandishi ndiyo unaokubalika. Kwa kweli madai ya Manara ni sahihi kutopewa hati ya adhabu TFF wamekosea.
Upande wa Manara, kama Manara anaona ameonewa kwa nini asiende kwenye vyombo zaidi ya TFF kutafuta haki kuliko kutafuta huruma ya Wananchi ambao hawatampa msaada wowote?
Ni kweli Manara hana wanasheria kumsaidia kuitafuta haki Kisheria kuliko kuja kuongea na wananchi?
Pia, Manara ameshajiona mkubwa sana, anatumia nafasi hiyo kufanya anaoyoona ni sawa lakini si sawa. Apunguze kujiona bila yeye hakuna Yanga wala Mpira, apunguze nyenyenyeeee
[emoji23][emoji23]Uzi wa simba unadoda kwa sababu ya mashabiki simba kama wewe kuja kushinda kwenye uzi wa yanga. Uzi wenu unasuasua kama uzi wa taifa stars. Rudi kwenu
Aisee tumetoka mbali
Hii nzuri sana.Udhamini Mkubwa Kwa Klabu Kubwa.[emoji169][emoji172]
4 Billion Kila Mwaka [emoji2962]View attachment 2305633
😂 Saa hii wanajuta huko. 😂Kuna Timu Mkataba Wao Ni 15B Kwa Miaka Mitano [emoji1787][emoji1787]
Hersi Mi Namuaminia Hawezi Kutupeleka Chaka Kama Makolo Walivyopelekwa Chaka Na Mudi Kwenye Zile 20B [emoji23]Hii nzuri sana.
Na iwe kweli sasa yasiwe mambo ya kwenye makaratasi tu mwisho wa siku hamna kitu.