Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Wadau nimeitia mikononi hiyo jezi, nikiri wazi ni jezi kali sana hiyo ya kijani ni kali narudia tena.

Nilipoona kwenye picha niliona tumepigwa. Ninayo na nimechagua hiyo ya kijani ni bonge la Uzi.
Manara alishasema kilakitu kuwahusu[emoji23][emoji23], akili zenu hatuwezi ziamini
 
Wadau nimeitia mikononi hiyo jezi, nikiri wazi ni jezi kali sana hiyo ya kijani ni kali narudia tena.

Nilipoona kwenye picha niliona tumepigwa. Ninayo na nimechagua hiyo ya kijani ni bonge la Uzi.
Mtu anamatatizo makuu haya

Njaa kali (Hana uhakika wa Milo mi3)
Ukosefu wa ajira
Nyege

Unafikiri ataona uzuri wa hiyo Jezi mkuu wangu

Ukivaa usipige picha na infinix/Tecno
 
Hamza wa ubalozini huyu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuenzi, woiiiiiiiiih

Byuti byuti
 
Hamza wa ubalozini huyu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuenzi, woiiiiiiiiih

Byuti byutiView attachment 2307426
Ila Mtani tumejua kukunyanyasa yaani. 😅😅

Pumzika sasa tuache wavaaji ndo tukosoe japo nikueleweshe sisi watanzania hamna kitu itakuja halafu wote tuseme hapa yeees.

Refer muonekano wa jf. Mwanzoni kila mtu aliuponda kwa sasa waaala unaonekana wa kawaida kabisa.
 
Mtu anamatatizo makuu haya

Njaa kali (Hana uhakika wa Milo mi3)
Ukosefu wa ajira
Nyege

Unafikiri ataona uzuri wa hiyo Jezi mkuu wangu

Ukivaa usipige picha na infinix/Tecno
Kwa hiyo tutumie nin kupigia picha?
 
Hizi za kijani (home kits) hapana ila hizi nyingine fresh tu. Hapo ubunifu umepitiliza chumvi imekua nyingi kwenye mapishi
Desgner apunguze kuweka hivyo anavyoita vivutio sababu kiukweli nje ya Tanzania sidhani kama yupo atakayejua hapo kuna mapango ya Bagamoyo au majengo ya Zanzibar.

Sababu wengi watajua ni michoro tu ambayo haina maana yeyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…