Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

YOUNG AFRICANS SPORTS CLUB HOME KIT

[emoji736]Benjamin Mkapa Stadium
[emoji736]Askari Monument
[emoji736]Maritime Control They Ower
[emoji736]Mountain Kilimanjaro
[emoji736]Soko Kuu Kariakoo
[emoji736]Kigamboni Bridge
[emoji736]Ngome Kongwe
[emoji736]Arusha Declaration Monument
[emoji736]Nyerere Square Dodoma
[emoji736]PSSSF Commercial Complex
[emoji736]Bismark Rock

Jezi ya Yanga Sc ya nyumbani imebeba historia ya nchi kiufupi.

Unampa asilimia ngapi @sheriangowi kwa ubunifu huu...?
Sisi utopolo tunampa 100
 
Nenda Kwenye Jukwaa Lenu Kule Mkaongelee Hata Mechi Yenu Ya Juzi Mliyofungwa Na Kikundi Cha Madereva Taxi Wa Misri [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nida textile industry, Kitenge mtelezo fahari ya Utopoloooo

Byuti byuti
 
UDSM, Nkurumah Hall ([emoji3590])

UDOM, admission block ([emoji171])


Km hujaona chuo chako, fika TCU uhakikiwe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

byuti byuti.
FB_IMG_16590798815974703~2.jpg
 
Kwakweli Sikutegemea Nilichokiona Hasa ile Home Kit Na Wala Nilikuwa Siamini Picha Za Hizi Jezi Jinsi Zilivokuwa Zinasambaa, Ujumbe Ulowekwa Kwenye Home kit Ni Mzuri ila Muonekano Wake Sasa Ndo Mtihani, Nadiriki Kusema Home Kit Yetu Ya Msimu Uliopita Ni Nzuri Sana Na Bado Haijachuja Natamani Kama Vp Wangeiacha Tu ile ile [emoji23], ila Poa Tu Lakini Mimi Kama Mwananchi Ntaishi Nayo Japo Kiukweli Kwasasa Sijaipenda Labda Ntaizoeaga Baadae.
Tutazowea tu ndugu yangu. No way out.
 
Mtani kwa kweli hata mashabiki wengi wenu wa Yanga wameibezaa.

Hapa mkubali Ngowi kawaingiza chaka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ni ugeni tu Mtani ikishazoeleka wala haina neno kabisa yaan.
 
Desgner apunguze kuweka hivyo anavyoita vivutio sababu kiukweli nje ya Tanzania sidhani kama yupo atakayejua hapo kuna mapango ya Bagamoyo au majengo ya Zanzibar.

Sababu wengi watajua ni michoro tu ambayo haina maana yeyote.
Yan ningemuona wa maana huyo designer kama angeweka hayo kwenye training kits au warm up kits ile kabla ya mechi kuanza lakini kuweka kwenye wa uzi wa nyumbani kabisa ametukosea heshima.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shougaaah angu, mda wa kuteseka badoo,
Yaan sahivi kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzika,
Ukiamka vuta nguvu ya kuhimili maumivu msimu mzima.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] byuti byuti.
Oya nitolee pigo za kibwabwa
 
Back
Top Bottom