Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Sisi utopolo tunampa 100
 
Nenda Kwenye Jukwaa Lenu Kule Mkaongelee Hata Mechi Yenu Ya Juzi Mliyofungwa Na Kikundi Cha Madereva Taxi Wa Misri [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nida textile industry, Kitenge mtelezo fahari ya Utopoloooo

Byuti byuti
 
UDSM, Nkurumah Hall ([emoji3590])

UDOM, admission block ([emoji171])


Km hujaona chuo chako, fika TCU uhakikiwe.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

byuti byuti.
 
Tutazowea tu ndugu yangu. No way out.
 
Mtani kwa kweli hata mashabiki wengi wenu wa Yanga wameibezaa.

Hapa mkubali Ngowi kawaingiza chaka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaa. Ni ugeni tu Mtani ikishazoeleka wala haina neno kabisa yaan.
 
Desgner apunguze kuweka hivyo anavyoita vivutio sababu kiukweli nje ya Tanzania sidhani kama yupo atakayejua hapo kuna mapango ya Bagamoyo au majengo ya Zanzibar.

Sababu wengi watajua ni michoro tu ambayo haina maana yeyote.
Yan ningemuona wa maana huyo designer kama angeweka hayo kwenye training kits au warm up kits ile kabla ya mechi kuanza lakini kuweka kwenye wa uzi wa nyumbani kabisa ametukosea heshima.
 
Oya nitolee pigo za kibwabwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…