Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kama Yanga wanaongeza beki ya kati Mkameruni kwa maagizo ya Kocha maana yake ameona Kapteni wa Taifa Stars Michuano ya CHAN hatoshi

Hapa kuna somo kubwa kama taifa
Ila sijui kama wasomi wa soka la taifa watamsaidia Nondo kwa nguvu ile ile wanayotumia kujadilia matukio madogo ya kikanuni ambazo nazo zina ukakasi

Ndio soka letu hili la upepo na trendings…
 
Nondo ni beki wa kawaida sana,yan bora hata job aisee..nikimkumbuka nondo yule wa Kwa zahera,sijawahi kumuamini hata siku moja
 
Hiyo habari inaukweli kiasi gani..?
 
Rais mwana Tena .
Oya injinia vipi nikapashe.
Panda mwanangu kiroho Safi kaliamshe.
Kilichowakuta sijuii wana hali gani
 
Aongezwe tu kwa kweli. Mwamnyeto pale kati hapana aisee! Anajisahau mno!
 
Naona leo umechangia mkuu.
 
Wacha upuuzi, NONDO amecheza vzr msimu mzima uliopita, kapwaya kdg mechi ya juzi na vipers mshaanza miropoko.
NONDO ANAZINGUA SANA, MZITO, AFU ANAKOKOTA MPIRA CHUMBA NA SEBULE WAKATI BALL CONTROL YAKE NI MBOVU. KWA TUENDAKO HATUFAI NA HUO NDIO UKWELI MCHUNGU.

WENGINE NI KIBWANA SHOMARI, ANATUSAIDIA GAME ZA NDANI ILA KIMAFAIFA ILE ITAKWA NJIA.

TUWE WAKWELI TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…