Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

Kwanini mayele bado anapewa penalty apige, Kwanini asiendelee kupiga djuma
 
Naomba screen shot yanga akiongoza kundi caf


Wakituma niite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
 
Kuna mda zilipigwa pasi kama 100 hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Byuti Byuti [emoji8][emoji7]
 
Kwanini mayele bado anapewa penalty apige, Kwanini asiendelee kupiga djuma
Hakupewa apige bali aliung'ang'ania mpira. Aliniuzi sana tabia aliyoifanya, refa alipofujika tu penati yeye akauwahi mpira kisha akakaa nao. Hakutaka hata kuushusha chini mpira, ana ujinga wa kutafuta ufungaji bora tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…