changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Moloko kwenye mechi hizi chache za msimu huu kwanzia ile ya ngao ya jamii kakiwasha mno. Kisinda niliyemuona akiwa Berkane, Sio Kisinda yule aliyekuwa Yanga hapo awali. Naona tunafanya kosa lile lile kama la Makambo kwa kukariri mchezaji atarejea na ubora ule ule aliyoondoka naoMoloko