King Mbappe
JF-Expert Member
- Jul 26, 2018
- 1,195
- 2,053
Yanga ya moto kama chai ya rukwili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashindwa kuelewa ni nini inasababisha hiyo hali. Inanihuzunisha kwa namna fulani maana mambo yanaweza kuwa magumu tukikutana na timu zinazojua kuchanga karata vizuri kipindi cha pili. Tunatakiwa tubadilike timu iwe ya moto kwanzia kipindi cha kwanza na nafasi zitendewe hakiYanga wanaonekana wanakuwa wazuri kipindi cha pili
Mpira ni dakika 90 punguza lawamaNashindwa kuelewa ni nini inasababisha hiyo hali. Inanihuzunisha kwa namna fulani maana mambo yanaweza kuwa magumu tukikutana na timu zinazojua kuchanga karata vizuri kipindi cha pili. Tunatakiwa tubadilike timu iwe ya moto kwanzia kipindi cha kwanza na nafasi zitendewe haki
Al hilal amepita so Yanga watakutana nao,naamini kabisa Yanga na Simba zote zitapenya mpaka nusu fainal,Matokeo ya Al Hilal na St George. Tujue nani kapenya
Naona kapita kwa faida ya goli la ugenini. Ngoja tuone itakavyokua twendeni pamoja asibaki mtuAl hilal amepita so Yanga watakutana nao,naamini kabisa Yanga na Simba zote zitapenya mpaka nusu fainal,
Ukweli mtupu mm nina imani kubwa na kikosi chetu. Acha hawa mbumbumbu fc waendelee kubeza timu yetu inayowageuza kila siku kama chapati. Nawaambia kuna watu watabaki midomo wazi kama waneshikwa ugoni. Daima ni mbeleWananchi wenzangu nadhani Al Hilal ndo kipimo sahihi kwa sasa kuonyesha ubora wa Kikosi chetu pia huu ndo wakati wa kuonyesha kuwa sasa tupo serious na mashindano ya Kimataifa.
Sioni cha kutuzuwia kusonga mbele ikiwa kila mchezaji atajitoa na kujituma kadri ya uwezo wake na tukautumia vizuri uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yaliyo mazuri.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima dataWananchi wenzangu nadhani Al Hilal ndo kipimo sahihi kwa sasa kuonyesha ubora wa Kikosi chetu pia huu ndo wakati wa kuonyesha kuwa sasa tupo serious na mashindano ya Kimataifa.
Sioni cha kutuzuwia kusonga mbele ikiwa kila mchezaji atajitoa na kujituma kadri ya uwezo wake na tukautumia vizuri uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yaliyo mazuri.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Mbumbumbu wengi wanasahau ubora wa kocha Nabi na bench zima la ufundi. Walichokariri ni ule ubora wa Al Hilal ya miaka ya nyuma na ubovu wa Yanga wa miaka ya nyuma. Ngoja tukawashangazeUkweli mtupu mm nina imani kubwa na kikosi chetu. Acha hawa mbumbumbu fc waendelee kubeza timu yetu inayowageuza kila siku kama chapati. Nawaambia kuna watu watabaki midomo wazi kama waneshikwa ugoni. Daima ni mbele
Yaani upande wa beki ndio ilipo wasiwasi, wakianza kukusanywa wanakusanywa tu ovyo ovyo kwa pamoja.Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima data
Hakika Mkuu sisi kwa sasa tuwaache wabwabwaje tu.Ukweli mtupu mm nina imani kubwa na kikosi chetu. Acha hawa mbumbumbu fc waendelee kubeza timu yetu inayowageuza kila siku kama chapati. Nawaambia kuna watu watabaki midomo wazi kama waneshikwa ugoni. Daima ni mbele
Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.Binafsi ninajiamini kwa uwezo wa kikosi chetu katika idara zote kasoro backline tu. Sijui Prof Nabi atafanya maajabu gani kurekebisha lile tatizo la kuruhusu magoli na kurekebisha zile mistakes. Maana kuna muda ni kama tunakua tumejizima data
Wananchi wenzangu nadhani Al Hilal ndo kipimo sahihi kwa sasa kuonyesha ubora wa Kikosi chetu pia huu ndo wakati wa kuonyesha kuwa sasa tupo serious na mashindano ya Kimataifa.
Sioni cha kutuzuwia kusonga mbele ikiwa kila mchezaji atajitoa na kujituma kadri ya uwezo wake na tukautumia vizuri uwanja wa Mkapa kwa kupata matokeo yaliyo mazuri.
"DaimaMbeleNyumaMwiko"
Mwamnyeto ni changamoto aseeh. Walau labda Bangala acheze kama beki wa kati halafu kiungo wacheze Aucho na Sure boy then juu yao wanakuwepo Feisal na Aziz pengine tunaweza kuumiliki mchezoYaani upande wa beki ndio ilipo wasiwasi, wakianza kukusanywa wanakusanywa tu ovyo ovyo kwa pamoja.
Tunafungwa kwenye mipira ya kutenga (setpieces) hili ni tatizo na wanaweza kutumia hiyo nafasi kutuadhibuYaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
Hapo dawa Ni Bangala arudishwe Kati kwenye kiungo mkabaji Basi awe anakata umeme mapema kabla haujamfikia beki za Kati. Bangala anao uwezo mkubwa wa absorb dhoruba zote zikaishia pale Kati.Yaani itabidi Nabi atafute muarobaini aisee na mfano mzuri ni ile game na Azam kuna mda hadi nilishindwa kuelewa zile beki zetu kwani zilikuwa zinapinduliwa na wachezaji wa Azam mpaka nikawa najiuliza nini hiki.
Ni kweli usemalo Mkuu kocha aijaribu hii huenda ikaleta mabadiliko pale nyuma aisee.Hapo dawa Ni Bangala arudishwe Kati kwenye kiungo mkabaji Basi awe anakata umeme mapema kabla haujamfikia beki za Kati. Bangala anao uwezo mkubwa wa absorb dhoruba zote zikaishia pale Kati.