Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Ahsante Mkuu.Hongera sana ukhti,,lakini badilisheni jezi 😁
Sioni hata haja ya kuzibadilisha mbona 😀 sababu ziko bomba kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante Mkuu.Hongera sana ukhti,,lakini badilisheni jezi 😁
Shem hii ndio Yanga tunayoifahamu sasa.Yangaaaaaaaaa..............
Bora zile nyeuc au blueAhsante Mkuu.
Sioni hata haja ya kuzibadilisha mbona 😀 sababu ziko bomba kabisa.
Hii Yanga mwaka huu kazi wanayo.View attachment 2319600
[/QUOTEKati ya kitu bora ambacho Yanga watafanya ni kumpata huyu Mwamba.Hii Yanga mwaka huu kazi wanayo.View attachment 2319600
Atakiungana na waliopo, itasaidia sana kufungua safu za ulinzi za timu pinzani.
Atasaidia sana kwenye CAF Champions League.
Yaani huyu mwamba ataongeza kitu kikubwa sana akiungana na Aziz kutengeneza nafasi kwa wafungaji. He is a magician!!Hii Yanga mwaka huu kazi wanayo.View attachment 2319600
Nadhani mechi ya derby ndo aliyesababisha mabadiriko Yanga ikashindaCha kushangaza Moloko bado yupo huku kiukweli simuonagi kama huwa ana maajabu.
Kweli kabisaYaani huyu mwamba ataongeza kitu kikubwa sana akiungana na Aziz kutengeneza nafasi kwa wafungaji. He is a magician!!
Na leo tumpige huyo Polisi 2 hivi.Shem hii ndio Yanga tunayoifahamu sasa.
Hatimae zimetimiaNa leo tumpige huyo Polisi 2 hivi.
Na Mimi nanunua picha inayoonesha mzungu kagusa Mpira siku ile kwenye mechi ya ngao ya hisani..Kila picha 15000Naomba screen shot yanga akiongoza kundi caf
Wakituma niite mbwa nimekaa pale [emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]
Hakupewa apige bali aliung'ang'ania mpira. Aliniuzi sana tabia aliyoifanya, refa alipofujika tu penati yeye akauwahi mpira kisha akakaa nao. Hakutaka hata kuushusha chini mpira, ana ujinga wa kutafuta ufungaji bora tuKwanini mayele bado anapewa penalty apige, Kwanini asiendelee kupiga djuma