Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika Mkuu ule wa jana ni mwanzo tu.Hii Yanga kuna siku mtu atakuwa hagusi mpira mpk unaisha.
halaf jana pia kalivaaa kudadek zake kwani tangamano hakuna masuluali menginee
Ndio haohao na mechi ya kwanza walitoka 0-0 pale uwanja wa Amaan Zanzibar.Hivi hawa sindio walimpiga kipanga goli 7-0???
Yaani umepigwa ukapigika yaani ni hatari na nusu. Hivi nani atuwekee statistics hapa kwako Shadeeya shemela.Huu mpira ilioupiga Yanga leo ni onyo kwa vilabu vya kibongo bongo.
Ok Jana umeona safari yetu ilivyo ndefu koloKwa hali hii soka lenu litakuwa na Safari ndefu sana ya kwenda na ndiyo sababu mtaishia kujiona miamba wa humu humu nchini ila Kimataifa mtapasikia tu.View attachment 2403237
Shemela lete takwimu za jana tufaidi wote.Na mfungaji alikuwa yule yule aliyeleta majonzi kwa Manula nusura amvunje mbavu. 🤣🤣
View attachment 2411970
Yanga kibatari sio[emoji16][emoji16][emoji16]
Mwambie mwambie yamkolee.Ok Jana umeona safari yetu ilivyo ndefu kolo
Hata hawaji tena hapa makoloMwambie mwambie yamkolee.
Sawa Shemela.Shemela lete takwimu za jana tufaidi wote.
Mnafiki wa kiwango Cha SGRMUNGU IBARIKI SIMBA
MUNGU IBARIKI CLUB AFRICAIN[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji1249][emoji1249][emoji1249][emoji517][emoji517][emoji517][emoji517][emoji517][emoji897][emoji897][emoji897][emoji897]
😅😅mvivu kutembea yule anaishiaga barabara ya 12halaf jana pia kalivaaa kudadek zake kwani tangamano hakuna masuluali menginee
Sisi Yanga tumeshatoka huko kwenye dhana za kizamani za kutegemea uwanja wa nyumbani, tabia hiyo ndiyo inayodumaza soka la kiafrika, ni kweli inatakiwa utilie mkazo mechi za nyumbani ila usiogope kutafuta ushindi mechi za ugenini, hiyo ndiyo modern football, kwanza unamuangalia mpinzani ukiona kazubaa zubaa unampiga huko huko kwao kama jana Yanga alivyofanya.Sherehe zimeshaisha eeeh, haya sasa niwapongeze watani Utopolo kwa kushinda mechi ya ugenini na hatimaye kufanikiwa kutinga hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika, kushinda ugenini kwenye mashindano ya Afrika sio kazi rahisi, yahitaji uwekezaji mkubwa wa hali na mali, wachezaji kujitambua kuwa wanawakilisha umati mkubwa wa mashabiki ambao wamewekeza furaha yao kwao endapo watafanya vizuri, viongozi nao wajue wamebeba dhamana kubwa sana, wanatakiwa kuwa wachezaji nje ya uwanja.
Kwa dhati kabisa niwapongeze wachezaji wa Utopolo kwa kujituma na kuipogania vema nembo ya klabu yao, brand name ya klabu yao, na kikubwa zaidi kuipeperusha vema bendera ya taifa ya Tanzania.
Kazi ndio kwanza imeanza, hatua ya makundi, ili upenye, kwanza ni kuhakikisha poits 9 za michezo ya nyumbani zote unazikomba, ugenini ukipata hata poit 1 tu, unatoboa robo fainali.
Ni muda muafaka sasa kufanya maandalizi ya kutosha, kusahihisha makosa yaliyoonekana, na kutafuta mechi za majaribio za kariba ya timu zinazoshiriki michuano hiyo mikubwa barani Afrika.
HONGERA SANA WATANI.